Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafuasi wa Lowassa walia na uamuzi wa Kamati Kuu

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaWAFUASI wa aliyekuwa akiwania uteuzi wa CCM kuwa mgombea urais, Edward Lowassa, ambaye hakupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wagombea bora watano, wamepaza sauti zao wakionesha kutoridhishwa kwa jina la mgombea huyo kuchujwa katika vikao vya uamuzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uamuzi mgumu CCM katika Kamati Kuu leo

>Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM inakutana leo mchana mjini Dodoma chini ya mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete huku ikitarajiwa kufanya uamuzi mgumu wa mchakato wa Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

NCHIMBI, SOPHIA SIMBA NA KIMBISA WASEMA HAWAKUBALIANI NA UAMUZI WA KAMATI KUU(CC)

Mhe. Emmanuel Nchimbi akitangaza mbele ya wanahabari kwa kutoridhishwa na maamuzi yao kamati kuu(CC). (Picha na Kajunason Blog)
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) imetoa orodha ya wagombea watano bila ya jina la Edward Lowassa kuwemo ndani. Lakini katika hali inayoonesha mpasuko, baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi huo.Majina yaliyopatikana, ambayo hata hivyo hayajatangazwa rasmi na chama, ni ya Bernard Membe, Dk. John Magufuli, Dk. Asha Rose-Migiro, January Makamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Machali alaani uamuzi wa kamati

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Moses Machali amesema kitendo cha Kamati Maalumu la kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo kupendekeza kuwa chombo hicho ndicho kitakachoamua utaratibu wa upigaji wa kura na kupitisha uamuzi, kinapaswa kulaaniwa.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

5 years ago

CCM Blog

KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein    akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakala wa Fifa ashangaa uamuzi wa kamati ya TFF

Wakala anayetambulika na Shirikisho la Soka Kimataifa (Fifa), Ali Saleh amesema Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeteleza kumsimamisha mshambuliaji Emmanuel Okwi kuichezea Yanga katika mechi za Ligi Kuu na zile za kimataifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani