Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NCHIMBI, SOPHIA SIMBA NA KIMBISA WASEMA HAWAKUBALIANI NA UAMUZI WA KAMATI KUU(CC)

Mhe. Emmanuel Nchimbi akitangaza mbele ya wanahabari kwa kutoridhishwa na maamuzi yao kamati kuu(CC). (Picha na Kajunason Blog)
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) imetoa orodha ya wagombea watano bila ya jina la Edward Lowassa kuwemo ndani. Lakini katika hali inayoonesha mpasuko, baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi huo.Majina yaliyopatikana, ambayo hata hivyo hayajatangazwa rasmi na chama, ni ya Bernard Membe, Dk. John Magufuli, Dk. Asha Rose-Migiro, January Makamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Lowassa walia na uamuzi wa Kamati Kuu

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaWAFUASI wa aliyekuwa akiwania uteuzi wa CCM kuwa mgombea urais, Edward Lowassa, ambaye hakupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wagombea bora watano, wamepaza sauti zao wakionesha kutoridhishwa kwa jina la mgombea huyo kuchujwa katika vikao vya uamuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Uamuzi mgumu CCM katika Kamati Kuu leo

>Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM inakutana leo mchana mjini Dodoma chini ya mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete huku ikitarajiwa kufanya uamuzi mgumu wa mchakato wa Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awaongoza viongozi mbali mbali na mamia ya waombolezaji kumfariji Mh. Sophia Simba kwa kufiwa na Mwanae Leeford Simba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Mhe.Sophia Simba kufuatia kifo cha mwanaye Marehemu Leeford Simba huko Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Leeford Simba anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu Leeford Simba amezikwa jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole na...

 

9 years ago

Habarileo

Simba wasema wameanza ligi

Na Mohamed Akida KOCHA wa Simba Dylan Kerr, amesema ushindi katika mechi dhidi ya Coastal Union, ilikuwa ni muhimu kwao bila kujali kiwango kibovu walichokionesha kwenye mchezo huo ambao walishinda kwa bao 1-0. Kutokana na hali hiyo amesema wameanza sasa rasmi mbio za kuelekea katika ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Migiro, Sophia Simba tofautianeni na ‘mizigo’

NIANZE makala hii kwa kusema ‘mawaziri wa Wizara ya Sheria na Katiba, na Maendeleo ya Jinsia, Wanawake na Watoto, onyesheni kwa vitendo kuwa nyie ni wanasiasa wachapakazi; na hivyo jitofautisheni...

 

11 years ago

Mwananchi

Machali alaani uamuzi wa kamati

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Moses Machali amesema kitendo cha Kamati Maalumu la kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo kupendekeza kuwa chombo hicho ndicho kitakachoamua utaratibu wa upigaji wa kura na kupitisha uamuzi, kinapaswa kulaaniwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Werema, Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

>Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba nusura wapigane baada ya kupishana kauli wakati wa mjadala wa ndani ya Kamati Namba Sita inayoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira.

 

11 years ago

Michuzi

Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji — Waziri Sophia Simba

eketaji.Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.  Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam. Washiriki Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam. Washiriki Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani