Simba wasema wameanza ligi
Na Mohamed Akida KOCHA wa Simba Dylan Kerr, amesema ushindi katika mechi dhidi ya Coastal Union, ilikuwa ni muhimu kwao bila kujali kiwango kibovu walichokionesha kwenye mchezo huo ambao walishinda kwa bao 1-0. Kutokana na hali hiyo amesema wameanza sasa rasmi mbio za kuelekea katika ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-US6-azYriow/VaBYKH4EJKI/AAAAAAABjHM/UZmZa81Qpow/s72-c/IMG_8016.jpg)
NCHIMBI, SOPHIA SIMBA NA KIMBISA WASEMA HAWAKUBALIANI NA UAMUZI WA KAMATI KUU(CC)
![](http://1.bp.blogspot.com/-US6-azYriow/VaBYKH4EJKI/AAAAAAABjHM/UZmZa81Qpow/s640/IMG_8016.jpg)
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) imetoa orodha ya wagombea watano bila ya jina la Edward Lowassa kuwemo ndani. Lakini katika hali inayoonesha mpasuko, baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi huo.Majina yaliyopatikana, ambayo hata hivyo hayajatangazwa rasmi na chama, ni ya Bernard Membe, Dk. John Magufuli, Dk. Asha Rose-Migiro, January Makamba...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Je, Simba itarudi kuwa Simba halisi msimu huu?
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Simba moto Ligi Kuu
*Yaiua Kagera, Kiiza akipiga ‘hat trick’, waionyeshea Yanga alama ya saa
*Azam, Mtibwa Sugar nazo zaendeleza dozi, Coastal Union mambo magumu
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imeonekana kuwa moto wa kuotea mbali kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), baada ya kupata ushindi wa tatu mfululizo kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Simba kabla ya kuingia kwenye mchezo huo iliweza kuzichapa ugenini timu za Tanga, African Sports bao 1-0...
10 years ago
Mwananchi08 Dec
‘First 11 ya Simba’ Ligi Daraja la Kwanza
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Simba na Azam kupepetana ligi kuu
10 years ago
Mwananchi03 May
LIGI KUU: Azam, Simba kama fainali
9 years ago
Habarileo08 Nov
Kipa Simba achimba mkwara Ligi Kuu
KIPA wa kimataifa wa Simba, Vicent Angban, amesema kama ataendelea kupangwa kuidakia timu hiyo kwenye mechi za Ligi Kuu ya Tanzania bara ana uhakika wa kubeba tuzo ya kipa bora msimu huu kwa kua hajaona mshambuliaji wa kumhofia.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga
10 years ago
Mwananchi01 Mar
LIGI KUU: Simba yaipiga ‘mkono’ Prisons