LIGI KUU: Simba yaipiga ‘mkono’ Prisons
>Ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Prisons ya Mbeya kwenye Ligi Kuu umeipa faraja Simba na pengine utazima vurugu zilizokuwa zikihisiwa kutokea kwenye mkutano mkuu wa wanachama leo kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV30 Sep
Ligi Kuu Uingereza, Stoke City yaipiga Newcastle 1-0.
Goli la mapema la Stoke City lililopachikwa na Peter Crouch kwa njia ya kichwa limezidi kumwongezea tumbo joto boss wa Newcastle Alan Pardew.
Katika dakika ya 15 Crouch aliruka juu na kukutana na krosi iliyotumwa na Victor Moses kutokea kushoto ambapo hakufanya ajizi akaukwamisha mpira wavuni.
Kipigo hicho sasa kimeamsha hasira za mashabiki wa Newcastle juu ya meneja wao Pardew.
BBC
10 years ago
StarTV10 May
Ligi Kuu Uingereza, Man Utd yaipiga Crystal Palace 2-1.
Marouane Fellaini alifunga bao la ushindi katika kipindi cha pili cha mechi dhidi ya Crystal Palace na kuipatia Manchester United ushindi wa kufuzu katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.
Ashley Young ndiye aliyesaidia pakubwa katika mabao yote mawili baada ya kumnawisha mpira beki wa Crystal Palace na kupata penalti iliofungwa na Juan Mata na baadaye kutoa pasi nzuri iliotiwa kimywani na Fellaini kunako dakika ya 77.
katika matokeo mengine
Everton 0 – 2 Sunderland
Aston Villa 1 – 0 West...
9 years ago
Mwananchi13 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Prisons ianze kuja na majibu siyo maswali
9 years ago
Mwananchi16 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Je, Simba itarudi kuwa Simba halisi msimu huu?