Rais Kikwete awaongoza viongozi mbali mbali na mamia ya waombolezaji kumfariji Mh. Sophia Simba kwa kufiwa na Mwanae Leeford Simba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Mhe.Sophia Simba kufuatia kifo cha mwanaye Marehemu Leeford Simba huko Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Leeford Simba anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu Leeford Simba amezikwa jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
TASWIRA MBALI MBALI ZA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI



11 years ago
Michuzi
Dkt. Shein akutana na viongozi mbali mbali ikulu Zanzibar leo



11 years ago
Michuzi
TASWIRA MBALI MBALI ZA MCHEZO WA VIONGOZI WA DINI ULIOCHEZWA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR


5 years ago
Michuzi
RAIS DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA WASANII MBALI MBALI ZANZIBAR LEO

10 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI ZA ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN NCHINI UJERUMANI
10 years ago
MichuziVIONGOZI MBALI MBALI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO
10 years ago
GPL
TUNZO KWA WANAMICHEZO BORA WA MWAKA MICHEZO MBALI MBALI ZATOLEWA