Edward Lowassa alalamika wafuasi wake kuandamwa na Serkali
Aliyekua mgombea Urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani na amezitaka idara zinazohusika kuchukua hatua ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima.Akizungumza katika ibada maalum ya kukaribisha mwaka mpya
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Lowassa alalamika kuchezewa rafu na polisi
SHABANI MATUTU NA MAULI MUYENJWA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amelalamikia rafu alizodai kuchezewa na Jeshi la Polisi kwa nia ya kukibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Malalamiko hayo ameyatoa jana, jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Kwa mujibu wa Lowassa, Jeshi la Polisi limewakamata vijana 192 wa chama hicho waliokuwa wakifanya kazi ya kupokea na kujumlisha matokeo ya nchi nzima.
Baada ya vijana hao kukamatwa...
10 years ago
Vijimambo26 May
Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCM
Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
9 years ago
CHADEMA Blog9 years ago
Habarileo16 Nov
Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Wafuasi wa Lowassa waitesa CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Arusha kiko njia panda kutokana na hatua ya baadhi ya wa
Paul Sarwatt
9 years ago
Vijimambo10 years ago
BBCSwahili05 Aug
10 years ago
GPL