Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa, Membe waitesa CCM

Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambao walipewa onyo kali na kuwekwa chini ya uangalizi kwa miezi 12 wamezidi kukitesa chama hicho, na katika kuwadhibiti, kimetoa maagizo kwa Kamati ya Usalama na Maadili kufuatilia nyendo zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Wafuasi wa Lowassa waitesa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Arusha kiko njia panda kutokana na hatua ya baadhi ya wa

Paul Sarwatt

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yawafunga Lowassa, Membe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemfunga Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na makada wenzake watano kwa kuwapa onyo kali na kuzuiwa kugombea uongozi wowote ndani ya chama kwa muda wa mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe yametimia

>Kamati Kuu ya CCM (CC) inakutana Jumamosi wiki hii huku mambo muhimu sita yakitarajiwa kujadiliwa, likiwamo suala la makada wa chama hicho waliopewa adhabu ya onyo kali kwa kuanza kampeni za urais mapema na ukiukaji wa maadili.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe huru urais

>Mpambano mkali wa kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM sasa umeanza rasmi baada ya Kamati Kuu ya chama hicho tawala kuwaweka huru makada sita waliokuwa wamefungiwa kwa takriban miezi 17 kwa makosa ya kukiuka kanuni za uchaguzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Urais wa Membe, Lowassa gizani

Kamati Kuu ya CCM imezidi kuwaweka gizani makada sita waliomaliza adhabu ya kufungiwa kwa miezi 12 baada ya kueleza kuwa uchunguzi dhidi yao unaendelea kwa muda usiojulikana, uamuzi utakaowazuia kujitokeza rasmi kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA VS MEMBE NANI MBABE?

Na Erick Evarist
Zikiwa zimebaki siku  218 kufikia Oktoba 20, siku ya uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mgombea wa urais kupitia chama hicho bado ni kitendawili. Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa. Kitendo cha CCM kuchelewesha kupiga kipyenga cha kuanza kwa mbio hizo, kimepandisha homa kali ya uchaguzi miongoni wa Watanania, huku kambi za waonesha nia mbalimbali zikiendelea...

 

10 years ago

Mwananchi

Pumzi ya mwisho Lowassa, Membe

Wakati makada wa CCM wakivuta pumzi ya mwisho kwa matarajio ya kuondolewa kifungo cha miezi 12 ili wajitose rasmi kuwania urais, Kamati Kuu ya chama hicho inakutana leo kukiwa na habari kuwa itatumia muda mwingi kujadili mwelekeo wa mchakato wa Kura ya Maoni na badala wa wanachama hao sita.

 

10 years ago

Mwananchi

Membe, Lowassa liwalo na liwe

Dar es Salaam. Makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao ni miongoni mwa wanaotajwa kutaka kuwania nafasi ya urais, wamefanya uamuzi mgumu wa kutangaza kutogombea tena ubunge kwenye majimbo yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Membe amchokonoa Lowassa kiana

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoruhusu mtu yeyote kununua urais kama njugu. Alitahadharisha kuwa kama itatokea kada yeyote wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani