Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa, Membe huru urais

>Mpambano mkali wa kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM sasa umeanza rasmi baada ya Kamati Kuu ya chama hicho tawala kuwaweka huru makada sita waliokuwa wamefungiwa kwa takriban miezi 17 kwa makosa ya kukiuka kanuni za uchaguzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe huru ndani ya saa 24

>Kifungo cha miezi 12 walichopewa makada sita wa CCM kwa kukiuka kanuni na taratibu za chama hicho na kuanza kampeni za kuwania urais kabla ya wakati, kinamalizika ndani ya saa 24 na hatma yao kusubiri tathimini itakayofanywa na kamati ndogo ya maadili ili kubaini iwapo walitekeleza ipasavyo adhabu hiyo au la.

 

10 years ago

Mwananchi

Urais wa Membe, Lowassa gizani

Kamati Kuu ya CCM imezidi kuwaweka gizani makada sita waliomaliza adhabu ya kufungiwa kwa miezi 12 baada ya kueleza kuwa uchunguzi dhidi yao unaendelea kwa muda usiojulikana, uamuzi utakaowazuia kujitokeza rasmi kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa huru

Vigogo-CCM-waadhibiwaNa Khamis Mkotya, Dodoma
HATIMAYE makada sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofungiwa kujihusisha na shughuli zozote zenye mwelekeo wa kufanya kampeni za kuwania kuteuliwa kuwania urais kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa wapo huru.
Makada hao wameondolewa kifungo hicho baada ya Kamati Kuu ya CCM (CC), kuridhia pendekezo la kamati ndogo ya maadili iliyokuwa ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Philip Mangula, la kuwaondoa kifungoni.
Kamati Kuu ya CCM ilianza vikao vyake jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe yametimia

>Kamati Kuu ya CCM (CC) inakutana Jumamosi wiki hii huku mambo muhimu sita yakitarajiwa kujadiliwa, likiwamo suala la makada wa chama hicho waliopewa adhabu ya onyo kali kwa kuanza kampeni za urais mapema na ukiukaji wa maadili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yawafunga Lowassa, Membe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemfunga Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na makada wenzake watano kwa kuwapa onyo kali na kuzuiwa kugombea uongozi wowote ndani ya chama kwa muda wa mwaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe waitesa CCM

Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambao walipewa onyo kali na kuwekwa chini ya uangalizi kwa miezi 12 wamezidi kukitesa chama hicho, na katika kuwadhibiti, kimetoa maagizo kwa Kamati ya Usalama na Maadili kufuatilia nyendo zao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jk awatosa Lowassa, Sitta, Membe

RAIS Jakaya Kikwete, ameamua kuwatosa kiana baadhi ya makada wenzake wazee wanaonyesha nia kutaka kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani, Tanzania Daima limebaini. Alisema vijana ndiyo chachu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani