Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa, Membe huru ndani ya saa 24

>Kifungo cha miezi 12 walichopewa makada sita wa CCM kwa kukiuka kanuni na taratibu za chama hicho na kuanza kampeni za kuwania urais kabla ya wakati, kinamalizika ndani ya saa 24 na hatma yao kusubiri tathimini itakayofanywa na kamati ndogo ya maadili ili kubaini iwapo walitekeleza ipasavyo adhabu hiyo au la.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe huru urais

>Mpambano mkali wa kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM sasa umeanza rasmi baada ya Kamati Kuu ya chama hicho tawala kuwaweka huru makada sita waliokuwa wamefungiwa kwa takriban miezi 17 kwa makosa ya kukiuka kanuni za uchaguzi.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa huru

Vigogo-CCM-waadhibiwaNa Khamis Mkotya, Dodoma
HATIMAYE makada sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofungiwa kujihusisha na shughuli zozote zenye mwelekeo wa kufanya kampeni za kuwania kuteuliwa kuwania urais kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa wapo huru.
Makada hao wameondolewa kifungo hicho baada ya Kamati Kuu ya CCM (CC), kuridhia pendekezo la kamati ndogo ya maadili iliyokuwa ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Philip Mangula, la kuwaondoa kifungoni.
Kamati Kuu ya CCM ilianza vikao vyake jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe yametimia

>Kamati Kuu ya CCM (CC) inakutana Jumamosi wiki hii huku mambo muhimu sita yakitarajiwa kujadiliwa, likiwamo suala la makada wa chama hicho waliopewa adhabu ya onyo kali kwa kuanza kampeni za urais mapema na ukiukaji wa maadili.

 

10 years ago

Mwananchi

Hukumu CCM ndani ya saa 72

Kamati Kuu ya CCM, itakuwa na vikao vizito kuanzia Jumatatu kujadili masuala mbalimbali yanayokikabili chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya Muhongo ndani ya saa 48

Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya Bunge la Jamhuri ya Muungano kuanza mjini Dodoma, sasa hakuna shaka kwamba Rais Jakaya Kikwete atafanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri wakati wowote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Membe amchokonoa Lowassa kiana

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoruhusu mtu yeyote kununua urais kama njugu. Alitahadharisha kuwa kama itatokea kada yeyote wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yawafunga Lowassa, Membe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemfunga Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na makada wenzake watano kwa kuwapa onyo kali na kuzuiwa kugombea uongozi wowote ndani ya chama kwa muda wa mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani