Hatima ya Muhongo ndani ya saa 48
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya Bunge la Jamhuri ya Muungano kuanza mjini Dodoma, sasa hakuna shaka kwamba Rais Jakaya Kikwete atafanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri wakati wowote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Hatima ya Ukawa saa 72
Hatma ya chama cha NCCR-Mageuzi kuwa ndani ya Ukawa itajulikana Jumamosi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu Taifa, ambacho pamoja na mambo mengine, kitajadili taarifa za kutoridhishwa na mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5ty75VFGexI/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Hukumu CCM ndani ya saa 72
Kamati Kuu ya CCM, itakuwa na vikao vizito kuanzia Jumatatu kujadili masuala mbalimbali yanayokikabili chama hicho.
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Lowassa, Membe huru ndani ya saa 24
>Kifungo cha miezi 12 walichopewa makada sita wa CCM kwa kukiuka kanuni na taratibu za chama hicho na kuanza kampeni za kuwania urais kabla ya wakati, kinamalizika ndani ya saa 24 na hatma yao kusubiri tathimini itakayofanywa na kamati ndogo ya maadili ili kubaini iwapo walitekeleza ipasavyo adhabu hiyo au la.
11 years ago
Habarileo02 Aug
Pinda ataka majibu ndani ya saa 30
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu, ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya, hayajafanyiwa kazi.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
MATUKIO: Saa mbili ndani ya Buguruni
>“Naombeni msaada…Wananipiga jamani…Tafadhari ndugu zangu niokoeni wataniuwa mimi,â€â€¦Ni sauti ya kijana anayepigwa na kundi la vijana kutokana na tuhuma za wizi eneo la Buguruni majira ya saa moja na nusu usiku.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Saa mbili ndani ya Buguruni elimu tosha
Kitu kimoja ambacho unaweza kukifanya kumbukumbu katika eneo la Buguruni, wilayani Ilala jijini Dar es Salaam ni ‘vishombo’, huu ni mlo wa nyama za aina mbalimbali, mfano miguu ya kuku na utumbo wake.
11 years ago
Mwananchi03 Aug
BIASHARA: Saa mbili ndani ya Machinjio ya Vingunguti
>Ukiwa unakaribia katika eneo la machinjio lililopo Vingunguti jijini hapa kabla ya kuingia ndani salamu ya kwanza utakayopokelewa nayo ni “Karibu mteja  fungu moja ni Sh 1,000 tu…dada karibu uboreshe ndoa…kaka karibu uboreshe ndoa,â€hizo ni sauti za vijana waliopanga bidhaa zao kwenye meza pembezoni mwa Barabara ya Vingunguti, nje ya banda la kuchinjia mifugo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania