Hukumu CCM ndani ya saa 72
Kamati Kuu ya CCM, itakuwa na vikao vizito kuanzia Jumatatu kujadili masuala mbalimbali yanayokikabili chama hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Dec
Viongozi wa CCM Iringa wafungiwa ndani kwa saa 4 madai ya kutowawajibisha wasaliti
Viongozi wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Iringa, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kufungiwa ndani kwa takribani saa nne – katika jengo la CCM Mkoa, kwa kile kinachotajwa kushindwa kuwachukulia hatua wasaliti wa chama hicho.
Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na baadhi ya vijana wa chama hicho, wakishinikiza kujihudhuru kwa Jesca Msambatavangu- mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, kiongozi anayetajwa kukihujumu chama na kusababisha jimbo la Iringa mjini kuchukuliwa na Upinzani.
katika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
HUKUMU YA ZITTO KABWE KESHO SAA NANE
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5ty75VFGexI/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Hatima ya Muhongo ndani ya saa 48
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Lowassa, Membe huru ndani ya saa 24
11 years ago
Mwananchi05 Jul
MATUKIO: Saa mbili ndani ya Buguruni
11 years ago
Habarileo02 Aug
Pinda ataka majibu ndani ya saa 30
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu, ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya, hayajafanyiwa kazi.
10 years ago
Bongo Movies13 Jul
Saa 72 za Lulu Ndani Ya Gold Digger Ni Hatari
UNAPOONGELEA Muigizaji wa kike mwenye mvuto na anayejua kuigiza basi msanii huyo si mwingine unamuongelea binti mwenye nyota kali Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu, baada ya kimya cha muda mrefu kuwepo likizo Lulu kwa karudi kwa nguvu kubwa katika sinema.
Nakutonya ni zaidi ya saa 72 Lulu anasimama kuigiza huku wasanii anaoshiriki nao wakibadilishana naye akibadilisha nguo tu na kurudi katika scene nyingine baada ya kumaliza scene moja baada ya moja, bila kupumzika hata akiambiwa sasa...