Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa huru

Vigogo-CCM-waadhibiwaNa Khamis Mkotya, Dodoma
HATIMAYE makada sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofungiwa kujihusisha na shughuli zozote zenye mwelekeo wa kufanya kampeni za kuwania kuteuliwa kuwania urais kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa wapo huru.
Makada hao wameondolewa kifungo hicho baada ya Kamati Kuu ya CCM (CC), kuridhia pendekezo la kamati ndogo ya maadili iliyokuwa ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Philip Mangula, la kuwaondoa kifungoni.
Kamati Kuu ya CCM ilianza vikao vyake jana...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe huru urais

>Mpambano mkali wa kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM sasa umeanza rasmi baada ya Kamati Kuu ya chama hicho tawala kuwaweka huru makada sita waliokuwa wamefungiwa kwa takriban miezi 17 kwa makosa ya kukiuka kanuni za uchaguzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe huru ndani ya saa 24

>Kifungo cha miezi 12 walichopewa makada sita wa CCM kwa kukiuka kanuni na taratibu za chama hicho na kuanza kampeni za kuwania urais kabla ya wakati, kinamalizika ndani ya saa 24 na hatma yao kusubiri tathimini itakayofanywa na kamati ndogo ya maadili ili kubaini iwapo walitekeleza ipasavyo adhabu hiyo au la.

 

11 years ago

Mwananchi

HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru

>Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa Ilala, John Lubuva na wenzake wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara, wameibuka kidedea katika kesi hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani