Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masha, wafuasi wa Lowassa watupwa Segerea

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, kukamatwa na kulazwa kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam, amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka kisha kupelekwa katika Gereza la Segerea.

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Masha alikamatwa juzi jioni baada ya kufika Kituo cha Polisi Osterbay, kwa lengo la kuwadhamini vijana 19 waliokuwa wamekamatwa kwa madai ya kukusanyika kinyume cha sheria.

Vijana hao...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Masha atoka Segerea

mashaNA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

BAADA ya kuwa chini ya Jeshi la Magereza kwa saa 24, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, ametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa.

Masha aliingia katika Gereza la Segerea juzi alasiri na kuachiwa huru jana alasiri baada ya mahakama kujiridhisha.

Mshtakiwa huyo alipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi Waliarwande Lema kwa ajili ya dhamana.

Wakili wa Serikali, Wankyo Simon, aliifahamisha mahakama kwamba uhakiki wa masharti ya dhamana...

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LAURENCE MASHA AKOSA DHAMANA AENDA MAHABUSU YA GEREZA LA SEGEREA

 Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, akishuka kwenye gari la polisi kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, wakati alipofikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya vurugu kwenye kituo cha polisi Oysterbay juzi. (Picha na Said Powa) 

 

9 years ago

Raia Mwema

Wafuasi wa Lowassa waitesa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Arusha kiko njia panda kutokana na hatua ya baadhi ya wa

Paul Sarwatt

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa ahimiza wafuasi wampigie kura

MGOMBEA wa urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Edward Lowassa, amesema haitoshi kwa watu kuendelea kufurika katika mikutano yake pasipo kutia nia ya kumpigia kura ili aweze kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano.

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Lowassa Zanzibar wamtosa rasmi

WAJUMBE wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar waliokuwa kambi ya mtia nia ya urais, Edward Lowassa wametangaza kutomfuata kada huyo aliyehamia Chadema na kusema kumuunga mkono mgombea urais aliyepitishwa na chama hicho, John Magufuli.

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Lowassa walia na uamuzi wa Kamati Kuu

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaWAFUASI wa aliyekuwa akiwania uteuzi wa CCM kuwa mgombea urais, Edward Lowassa, ambaye hakupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wagombea bora watano, wamepaza sauti zao wakionesha kutoridhishwa kwa jina la mgombea huyo kuchujwa katika vikao vya uamuzi.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Edward Lowassa alalamika wafuasi wake kuandamwa na Serkali

Aliyekua mgombea Urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani na amezitaka idara zinazohusika kuchukua hatua ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima.Akizungumza katika ibada maalum ya kukaribisha mwaka mpya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani