Masha atoka Segerea
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
BAADA ya kuwa chini ya Jeshi la Magereza kwa saa 24, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, ametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa.
Masha aliingia katika Gereza la Segerea juzi alasiri na kuachiwa huru jana alasiri baada ya mahakama kujiridhisha.
Mshtakiwa huyo alipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi Waliarwande Lema kwa ajili ya dhamana.
Wakili wa Serikali, Wankyo Simon, aliifahamisha mahakama kwamba uhakiki wa masharti ya dhamana...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Masha, wafuasi wa Lowassa watupwa Segerea
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, kukamatwa na kulazwa kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam, amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka kisha kupelekwa katika Gereza la Segerea.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Masha alikamatwa juzi jioni baada ya kufika Kituo cha Polisi Osterbay, kwa lengo la kuwadhamini vijana 19 waliokuwa wamekamatwa kwa madai ya kukusanyika kinyume cha sheria.
Vijana hao...
9 years ago
VijimamboALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LAURENCE MASHA AKOSA DHAMANA AENDA MAHABUSU YA GEREZA LA SEGEREA
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Masha apata dhamana
9 years ago
TheCitizen26 Aug
Masha freed on bail
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BwsZPYwdWUHlREjZJJCN14VGA0kW62IZxO7T930-3L9YeRMgD7unOxs9gfxwrHsXtiHS1QMaV1UrhxoSPwIAyr/PICHACHADEMA.jpg?width=750)
MASHA AACHIWA KWA DHAMANA
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Masha mshindi shindano la Dk. Mengi
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Lawrence Masha, amesema serikali inayokumbatia wawekezaji wa nje na kuacha kutoa fursa kwa wafanyabiashara wa ndani inakaribisha matatizo. Masha alitoa kauli hiyo jana...
9 years ago
AllAfrica.Com27 Aug
Masha Freed On Bail After Night in Custody
AllAfrica.com
The Kisutu Resident Magistrate's Court released on bail former Home Affairs Minister, Lawrence Masha after meeting bail conditions. Principal Resident Magistrate Waliarwande Lema released him after fulfilling the conditions whereby Masha was required ...
Ex-'Police Minister' Masha in court for insulting policeDaily News
all 2
9 years ago
Habarileo26 Aug
‘Waziri’ Masha awekwa kizimbani Dar
ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi.
10 years ago
Mtanzania24 Sep
Dk. Masha: Nilikosa ajira sababu ya Nyerere
![Dk. Fortunatus Masha](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Fortunatus-Masha.jpg)
Dk. Fortunatus Masha
NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA
BAADA ya kimya kirefu, hatimaye aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa kwanza wa TANU na baadaye kufukuzwa katika chama hicho mwaka 1968, Dk. Fortunatus Masha, ameibuka na kusema matatizo yaliyokuwapo kati yake na Mwalimu Julius Nyerere yalichangia asipate ajira ndani na nje ya Afrika Mashariki.
Dk. Masha ambaye kwa sasa ni mwanachama wa Chama cha UDP, alisema hayo katika mahojiano maalumu na MTANZANIA yaliyofanyika jijini hapa ambapo pamoja na mambo...