Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masha mshindi shindano la Dk. Mengi

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Lawrence Masha, amesema serikali inayokumbatia wawekezaji wa nje na kuacha kutoa fursa kwa wafanyabiashara wa ndani inakaribisha matatizo. Masha alitoa kauli hiyo jana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waziri mstaafu ashinda shindano la Mengi

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha ameibuka mshindi katika shindano la Mawazo ya Ubunifu katika Kujiinua Kiuchumi, lililoanzishwa na Mwenyekiti wa IPP Media, Reginald Mengi, lijulikanalo kama Tweet na Mengi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Reginald Mengi kumzawadia milioni 10 mshindi wa wazo la biashara la 3N

mengi2

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi.

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Mshindi wa Januari 2015 wa shindano la wazo la biashara 3N anatarajiwa kutangazwa  siku ya Alhamisi ya Februari 12 kuanzia  saa tano asubuhi jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa Dk. Reginald Mengi kupitia kurasa wake wa twitter, alitangazia umma kuwa  Shindano hilo jipya lijulikanalo kwa kifupi -3N, ikiwa ni kifupisho cha ‘Nitabuni wazo la biashara, Nitatekeleza, na Nitafanikiwa’,  ambapo mshindi wa...

 

9 years ago

GPL

FAINALI SHINDANO LA TMT, MSHINDI KUANDIKA HISTORIA

SIKU zikiwa zinahesabika kufikia Agosti 22, ndani ya Ukumbi wa Makumbusho, Posta jijini Dar ambapo shindano la kusaka vipaji vya kuigiza la Tanzania Movie Talents (TMT) linatarajiwa kufika kileleni, mshindi katika shindano hilo anatarajiwa kuweka historia ya aina yake. Akizungumza na Centre Spread, Meneja Mradi wa TMT, Saul Mpock alisema kuwa mwaka jana ambao ulikuwa ni msimu wa kwanza wa shindano hilo, Mwanaafa Mwinzago (13)...

 

10 years ago

GPL

DKT. REGINALD MENGI KUMZAWADIA MILIONI 10 MSHINDI WA WAZO LA BIASHARA LA 3N‏

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi. Na Andrew Chale Mshindi wa Januari 2015 wa shindano la wazo la biashara 3N anatarajiwa kutangazwa siku ya Alhamisi ya Februari 12 kuanzia saa tano asubuhi jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Dk. Reginald Mengi kupitia kurasa wake wa twitter, alitangazia umma kuwa Shindano hilo jipya lijulikanalo kwa kifupi -3N, ikiwa ni kifupisho cha ‘Nitabuni wazo la biashara,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti akifurahia wikiendi mbugani

pic 1

Mshindi wa kwanza wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Hassan Mfaume akiwa na  rafiki yake kipenzi, Mohamedi Ally walipowasili katika hifadhi ya taifa ya Serengeti tayari kufurahia wikiendi yao kwa kutalii sehemu mbalimbali za hifadhi hiyo maarufu duniani. Safari hii inagharamiwa na Kampuni ya bia ya Serengeti.

pic 2

Bw. Hassan na rafiki yake wakiwa ndani ya gari baada ya kuanza safari yao ya utalii ndani ya mbuga mashuhuri ya Serengeti mkoani Mara.

pic 3

Hassan na rafiki yake wakipozi kwa ajili...

 

10 years ago

Michuzi

shindano la Ndovu Golden Experience lapata mshindi wake wa pili

MSHINDI wa pili ya shindano la Ndovu Golden Experience Amand Kimario amewapiga kumbo washiriki wenzake katika shindano hilo na kujinyakulia nafasi ya kutembelea hifadhi ya Selous mwakani.
Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt ambao ndio waratibu wa shindano hilo Pamela Kikuli alisema, lengo la kuandaa shindano hilo ni kwa ajili ya kuwapa fursa Watanzania kutembelea hifadhi na kujivunia utalii wao wa ndani.
Pamela alisema, mshindi huyo...

 

9 years ago

Vijimambo

CAROLINA CHILELE AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015


 Mshindi wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 msimu wa nne akitoa neno la Shukurani kwa ushindi alioupata , Ameshukuru shirika la Oxfam kwa kuendesha shindano hilo na kuahidi kuwa atakwenda kuwa Balozi mzuri na kusema kuwa washiriki wote ni washindi na yeye amepata zawadi hiyo kuwawakilisha wote. Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa Nne 2015 Bi. Carolina Chilele(Kulia) akikabidhiwa Ngao yake ya Ushindi na Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster katika Kijiji cha Makumbusho...

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013 AFARIKI DUNIA JIJINI DAR.

  Marehemu Bi Aziza enzi za uhai wake. Kikundi cha Unity Of Women Friends,Kupitia mradi wao wa Mwanamakuka Awards  na Washirika wake,Benki ya Wanawake TWB na Clouds Media Group,Wana tangaza kwa masikitiko makubwa ya kumpoteza mshindi wa mwaka jana 2013,Bi Aziza  Mbogolume (pichani).Bi Aziza amefarika mapema jana mchana jijini Dar es salaam,mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo mnamo majira ya saa 9,na msiba upo nyumbani kwake Magomeni mwembechai.Aziza alikuwa ni Mwanamke jasiri...

 

10 years ago

Bongo5

Benjamin Webi aibuka mshindi wa shindano la Airtel TRACE Music Star Kenya

Kampuni ya simu ya Airtel Kenya na Trace International imemtangaza Benjamin Webi kama mshindi wa shindano la Airtel TRACE Music Star upande wa Kenya. Shindano hilo lililoanza October 5, 2014 ni la kipekee kwakuwa waimbaji walikuwa wakishiriki kwa kujirekodi kwenye simu zao.Nafasi ya pili imekamatwa na Phyllis Mwihaki huku nafasi ya tatu ikienda kwa Trina […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani