ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013 AFARIKI DUNIA JIJINI DAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-JBk-XvRchE0/U_uvlmIj4_I/AAAAAAACoJ0/dy00GGi1WW8/s72-c/Mwanamakuka.jpg)
Marehemu Bi Aziza enzi za uhai wake. Kikundi cha Unity Of Women Friends,Kupitia mradi wao wa Mwanamakuka Awards na Washirika wake,Benki ya Wanawake TWB na Clouds Media Group,Wana tangaza kwa masikitiko makubwa ya kumpoteza mshindi wa mwaka jana 2013,Bi Aziza Mbogolume (pichani).Bi Aziza amefarika mapema jana mchana jijini Dar es salaam,mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo mnamo majira ya saa 9,na msiba upo nyumbani kwake Magomeni mwembechai.Aziza alikuwa ni Mwanamke jasiri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUNITY OF WOMEN FRIENDS (UWF) WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Aliyekuwa mhariri msanifu wa Mwananchi afariki dunia
10 years ago
CloudsFM31 Oct
MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC, BEN KIKO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR
ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-f_VtfxuqKls/XkUVht6PkhI/AAAAAAALdI8/Nm404myswN8UhHJqU313KiR9KKw3tVePQCLcBGAsYHQ/s72-c/iddi%2Bsimba%2B%25282%2529.jpg)
TANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-f_VtfxuqKls/XkUVht6PkhI/AAAAAAALdI8/Nm404myswN8UhHJqU313KiR9KKw3tVePQCLcBGAsYHQ/s400/iddi%2Bsimba%2B%25282%2529.jpg)
Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.
Habari zaidi pamoja na mipango ya mazishi tutajulishana baada ya muda si mrefu
10 years ago
CloudsFM14 Mar
ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/4iGGfOEDaytTvsWqu-EI2X0d2SSAqVMkc89saVv56HPiDz03xp3gD8KVMqbyYSNnntF0yzq5JQZV2XO9B7YNjTRrwTp3maA-/MARSHHHHHH.jpg)
9 years ago
Michuzi15 Oct
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD. EMMANUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/P1iterCve3P81J3Zef--nJSyYac9aXLRICojNDu6Sier_pa79P9lYmwMszGqtXVhqzHNaNFP_wookvMc8GrDDaTtdaZ_G4JgDE4kQs2UzhITfNbCn1JsItJBCJjOOtvpBvSfAboQjW1-w5Jfkf0zsN4GRtQ6wVo=s0-d-e1-ft#http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2731006/highRes/1021109/-/maxw/600/-/i9vq6k/-/Makaidi.jpg)
WASIFU WA MAREHEMU KWA UFUPI:Dk Emmanuel Makaidi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NLD na ni mhandisi aliyebobea. Alizaliwa Aprili 10, 1941 huko wilayani Masasi mkoani Mtwara. Baba yake mzazi alikuwa ni katekista wa Kanisa la Anglikana.
Alianza elimu katika Shule ya Msingi Namalenga wilayani Masasi kati ya mwaka 1948 – 1952, mwaka 1953 – 1954 alisoma katika Shule ya Kati (Middle school)...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-e8xcmVz8E6s/VSWvXRd_2OI/AAAAAAADhQI/9RoX2C1Alig/s72-c/dr.%2Bmhita.jpg)
ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-e8xcmVz8E6s/VSWvXRd_2OI/AAAAAAADhQI/9RoX2C1Alig/s1600/dr.%2Bmhita.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1ariGYNmjxg/VSTVw5Iq09I/AAAAAAAHPj0/0jYzSFbHBXE/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
TANZIA: ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-1ariGYNmjxg/VSTVw5Iq09I/AAAAAAAHPj0/0jYzSFbHBXE/s1600/unnamed%2B(55).jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (mstaafu) Dkt. Mohamed Mhita kilichotokea siku ya Jumatatu tarehe 06 Aprili 2015 katika hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam.
Dkt. Mhita alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Idara Kuu ya Hali ya Hewa kwa kipindi cha miaka 8 kuanzia 1992 hadi 1999 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa kipindi cha miaka 9 kuanzia 1999...