Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNITY OF WOMEN FRIENDS (UWF) WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013

Picha ya pamoja, Baadhi ya wana kikundi cha UWF, mwakilishi kutoka Tanzania Women Bank (TWB), Bi Khadija na Baadhi ya washindi wa mradi huo wa Mwanamakuka tangu mwaka 2012 wakiwa katika picha pamoja. Pichani kulia ni Mwenyekiti wa UWF na Meneja Mradi wa Mwanamakuka,Bi.Maryam Shamo, akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) Mikocheni jijini Dar,mwishoni mwa wiki,kuhusiana na hafla fupi ya kumkumbuka Marehemu Aziza Mbogolume,ambaye alikuwa mshindi wa kwanza wa shindano la MWANAMAKUKA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013 AFARIKI DUNIA JIJINI DAR.

  Marehemu Bi Aziza enzi za uhai wake. Kikundi cha Unity Of Women Friends,Kupitia mradi wao wa Mwanamakuka Awards  na Washirika wake,Benki ya Wanawake TWB na Clouds Media Group,Wana tangaza kwa masikitiko makubwa ya kumpoteza mshindi wa mwaka jana 2013,Bi Aziza  Mbogolume (pichani).Bi Aziza amefarika mapema jana mchana jijini Dar es salaam,mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo mnamo majira ya saa 9,na msiba upo nyumbani kwake Magomeni mwembechai.Aziza alikuwa ni Mwanamke jasiri...

 

11 years ago

Michuzi

MSHINDI WA TUZO YA MWANAMAKUKA AKATIWA BIMA YA KULINDA BIASHARA YAKE.

 Mkurugenzi mtendaji wa Fortis Insurance Brokers Ltd , Bi Maryam Shamo.( wa pili Kulia) akimkabidhi Mshindi wa mwanamakuka 2014‎, nyaraka zake za Bima. Wengine ni wafanyakazi wa kampuni hio. Mshindi wa Mwanamakuka 2014, Bi Leyla Mwambungu, baada ya kujinyakulia Tuzo ya Million Tatu, kweye Tuzo za Mwanamakuka Awards, ambazo zinaandaliwa na Unity Of Women Friends. Fortis Insurance Brokers Ltd, Imeamua kulinda Biashara yake Kuwa kwa kumkatia Bima ya Moto Na Wizi, Ili Biashara yake isije...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masha mshindi shindano la Dk. Mengi

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Lawrence Masha, amesema serikali inayokumbatia wawekezaji wa nje na kuacha kutoa fursa kwa wafanyabiashara wa ndani inakaribisha matatizo. Masha alitoa kauli hiyo jana...

 

10 years ago

Daily News

Migiro implores women to pray for peace, unity


Daily News
Migiro implores women to pray for peace, unity
Daily News
TANZANIAN women have the duty to maintain peace and harmony as the nation inches closer to the general election, Justice and Constitutional Affairs minister Dr Asha Rose Migiro said here. Speaking during the official opening of the Mwanza Region ...

 

10 years ago

GPL

FAINALI SHINDANO LA TMT, MSHINDI KUANDIKA HISTORIA

SIKU zikiwa zinahesabika kufikia Agosti 22, ndani ya Ukumbi wa Makumbusho, Posta jijini Dar ambapo shindano la kusaka vipaji vya kuigiza la Tanzania Movie Talents (TMT) linatarajiwa kufika kileleni, mshindi katika shindano hilo anatarajiwa kuweka historia ya aina yake. Akizungumza na Centre Spread, Meneja Mradi wa TMT, Saul Mpock alisema kuwa mwaka jana ambao ulikuwa ni msimu wa kwanza wa shindano hilo, Mwanaafa Mwinzago (13)...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA BSS MWAKA 2013 ATINGA GLOBAL PUBLISHERS

Mshindi wa BSS 2014 Emmanueli Msuya akiwa katika mahojiano katika ofisi ya globalpublishers ....Emanueli Msuya akifanunua jambo alipokuwa akifanya interview ndani ya ofisi za globalpublishers .......Emanueli Msuya akiwa na mfanyakazi wa Globalpublishers bwana Musa Mateja.…

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA MAMA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA 2013-2014 YAZINDULIWA

Kwa mara ya kwanza nchini, shindano la mama mjasiriamali bora wa mwaka 2013-2014 limezinduliwa rasmi jana katika ukumbi wa Hoteli ya Johannesburg iliyopo maeneo ya Sinza Mori jijini Dar. Shindano hilo lililodhaminiwa na Global Publishers ltd, K-finance limited na Tazama Intertainment, limewajumuisha akina mama wajasiriamali wajane wapatao 17 kutoka sehemu mbalimbali jijini hapa ambapo watafundishwa mbinu za ujasiriamali na...

 

11 years ago

GPL

MOUREEN AIBUKA SUPA STAA WA SHINDANO LA MO KIDS GOT TALENT 2013

Kijana Salum Nyangumwe (17) mshindi wa pili aliyeimba wimbo wa My Number One wa Msanii Nasib Abdul a.k.a Diamond wakati wa fainali za kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la ”MO Kids Got Talent 2013" lililofanyika mwishoni mwa Juma kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Supa Staa wa Shindano la "MO Kids Got Talent 2013"… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti akifurahia wikiendi mbugani

pic 1

Mshindi wa kwanza wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Hassan Mfaume akiwa na  rafiki yake kipenzi, Mohamedi Ally walipowasili katika hifadhi ya taifa ya Serengeti tayari kufurahia wikiendi yao kwa kutalii sehemu mbalimbali za hifadhi hiyo maarufu duniani. Safari hii inagharamiwa na Kampuni ya bia ya Serengeti.

pic 2

Bw. Hassan na rafiki yake wakiwa ndani ya gari baada ya kuanza safari yao ya utalii ndani ya mbuga mashuhuri ya Serengeti mkoani Mara.

pic 3

Hassan na rafiki yake wakipozi kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani