MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC, BEN KIKO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR
ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y7WxhNqXbMZkuh*nJrs4jL7a9TgQWoSIoHR8ZkYGqU1Nr0P9kR6avK0ZThY7oFCLohKYt8ekKH24ZCS2c8QxmgsYicj3rOM0/benKiko.jpg?width=650)
MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qpuzt31zWvQ/VFMqQQzRcbI/AAAAAAAAJCw/Wjzu5H-41zY/s72-c/10404078_804304932941087_3151379507521605264_n.jpg)
News Alert: mtangazaji mahiri wa RTD Ben Kiko afariki dunia
![](http://3.bp.blogspot.com/-qpuzt31zWvQ/VFMqQQzRcbI/AAAAAAAAJCw/Wjzu5H-41zY/s640/10404078_804304932941087_3151379507521605264_n.jpg)
MTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hosptali ya taifa ya rufaa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ben Kiko ambaye jina lake kamili ni Ben Hamisi Kikoromo alihamishiwa katika hosptali ya Muhimbili kutokea hosptali ya Jeshi ya Milambo ya mkoani...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-rM1QoQYmCnI/VYQB0xWFjaI/AAAAAAAHhb4/tdheiHratVo/s72-c/mtangazaji%2B2.jpg)
JK AOMBOLEZA KIFO CHA MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC MAREHEMU FLORENCE DYAULI
![](http://3.bp.blogspot.com/-rM1QoQYmCnI/VYQB0xWFjaI/AAAAAAAHhb4/tdheiHratVo/s640/mtangazaji%2B2.jpg)
10 years ago
Habarileo01 Nov
Nguli wa utangazaji Beni Kiko afariki dunia
ALIYEKUWA mwandishi wa habari na mtangazaji wa Redio Tanzania (RTD) sasa TBC, Ben Kikoromo (72) maarufu kama Beni Kiko, amefariki dunia juzi usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa figo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Tqmc7m18Wls/XoRw52BO8MI/AAAAAAALlxI/ljuQONzZGk83TLJIVnZlmkEa__X1cxsQgCLcBGAsYHQ/s72-c/84228b7a-9b7c-4702-809a-54bc85f59eea.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0oA2-k-5x*29un6EHy128i5HBiVBGhTJqBFs8NbbzZrPaJxjkjzM4MGNgEolqppVoxbl7MRe7IYNS5lPCibfpyI/maxi.jpg)
MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!
5 years ago
Bongo514 Feb
Msanii mkongwe Cuba Gooding Sr afariki dunia
Mwanamuziki na muigizaji kutoka Marekani, Cuba Gooding Sr amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 72.
Mzee huyo ambaye ni baba wa muigizaji Cuba Gooding Jr amedaiwa kukutwa amefariki na kikosi cha moto akiwa katika gari lake lililokuwa limepaki pembezoni mwa barabara huko Woodland Hills, California.
Kwa mujibu wa taarifa za polisi, chanzo cha kifo hicho kimetokana na marehemu kuzidisha dawa ambapo kasha la dawa hizo lilikutwa kwenye gari lake likiwa tupu.
Picha ya gari la Cuba Gooding...
10 years ago
MichuziMWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AFARIKI DUNIA
Taarifa za awali ambazo chumba cha habari cha Globu ya Jamii imezipata kutoka kwa vyanzo vya kuaminika,zinaeleza kuwa Marehemu Amigolas alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Moyo mpaka kufariki kwake.
Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kuhusiana na msiba huu kwa...
5 years ago
CCM BlogMWANASHERIA NA MWANASIASA MKONGWE DKT. MASUMBUKO LAMWAI AFARIKI DUNIA