Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


shindano la Ndovu Golden Experience lapata mshindi wake wa pili

MSHINDI wa pili ya shindano la Ndovu Golden Experience Amand Kimario amewapiga kumbo washiriki wenzake katika shindano hilo na kujinyakulia nafasi ya kutembelea hifadhi ya Selous mwakani.
Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt ambao ndio waratibu wa shindano hilo Pamela Kikuli alisema, lengo la kuandaa shindano hilo ni kwa ajili ya kuwapa fursa Watanzania kutembelea hifadhi na kujivunia utalii wao wa ndani.
Pamela alisema, mshindi huyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Ndovu Golden Experience Wazulu hifadhi za Selous

Baadhi ya washindi wa program ya Ndovu Golden Experience iliyokuwa ikiendeshwa na TBL kupitia bia yake ya Ndovu wakirejea jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzulu katika hifadhi ya Selous kwa siku mbili mwishoni mwa wiki. Baadhi ya washindi wa program ya Ndovu Golden Experience iliyokuwa ikiendeshwa na TBL kupitia bia yake ya Ndovu wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Kampi ya Lake Manze(katikati) walipokwenda kujionea vivutio mbalimbali katika mbuga hiyo mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

TheCitizen

Dar resident wins Ndovu Golden Experience draw

Samson Marwa of Dar es Salaam has won Ndovu Golden Experience lucky draw conducted yesterday in the city.

 

10 years ago

Michuzi

MKAZI wa Kijichi ajishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous kupitia Ndovu Golden Experience

MKAZI wa Kijichi Jijini Dar es Salaam, Samson Marwa amejishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous katika droo inayoendeshwa na bia ya Ndovu kupitia kampeini yake ya ‘Ndovu Golden Experience’.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa bia ya Ndovu Victoria Kimaro alisema, mshindi huyu ameibuka kidedea baada ya kuwagaragaza wenzake katika kampeini hiyo na kupata nafasi ya kwenda katika hiyo hifadhi na mtu mmoja.
Victoria alisema, lengo la kuanzisha...

 

11 years ago

Michuzi

Home Shopping Centre yamzawadia mshindi wake wa kwanza wa shindano la 'pendezesha nyumba na HSC'


Na Andrew Chale
KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za majumbani na ofisini ya Home Shopping Centre (HSC) imemzawadia mshindi wake wa kwanza wa ‘pendezesha nyumba na HSC’, Rehane Jaffer zawadi ya sh 500,000.  Shindano hilo linaendeshwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kwa  jina la ‘Give a Way’.  Mshindi alikabidhiwa hundi ya kiasi hicho cha pesa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Meneja Mauzo na Masoko wa HSC, Nadhir Mubarak Bahayan ambaye aliwataka watanzania kushiriki shindano hilo...

 

11 years ago

Michuzi

HONEY KAUR MAIR AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO LA VALENTINES DAY SPECIAL LILILOANDALIWA NA MeTL KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK

1 (5) Honey akiwa amepozi pembeni ya kikapu maalum cha wapendanao, kilichosheheni zawadi mbali mbali. Na.Mwandishi wetu Honey Kaur Mair, ni msichana mwenye bahati. Bila shaka sikukuu yake ya wapendanao ilimalizika kwa furaha baada ya yeye na mumewe kuibuka kidedea wa shindano lililoandaliwa na kudhaminiwa na METL la Valentines Day Special Competition kupitia ukurasa wao wa Facebook. Pamoja na kuzawadia kikapu maalum cha wapendanao kilichosheheni zawadi kem kem, pia wapenzi hawa walipatiwa vocha...

 

5 years ago

Bongo5

Video: Mkenya Sarah Ikumu (15) afunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent, apewa ‘golden buzzer’

Muimbaji mwenye miaka 15, mtoto wa wazazi wa Kenya, Sarah Ikumu anaogelea kwenye dimbwi la ustaa baada ya Jumamosi iliyopita kufunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent.

Kuimba kwake kulimfanya awe mshiriki wa kwanza mwaka huu kupewa kitufe cha dhahabu (golden buzzer) kinachomaanisha kuwa anaingia moja kwa moja kwenye hatua inayofuata.

Sarah Ikumu ameanza kuimba kanisani tangu akiwa na miaka mitano.

Baba yake Alex Gatoto, kutoka Kenya ni mchungaji na amekuwa na mchango mkubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masha mshindi shindano la Dk. Mengi

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Lawrence Masha, amesema serikali inayokumbatia wawekezaji wa nje na kuacha kutoa fursa kwa wafanyabiashara wa ndani inakaribisha matatizo. Masha alitoa kauli hiyo jana...

 

9 years ago

GPL

FAINALI SHINDANO LA TMT, MSHINDI KUANDIKA HISTORIA

SIKU zikiwa zinahesabika kufikia Agosti 22, ndani ya Ukumbi wa Makumbusho, Posta jijini Dar ambapo shindano la kusaka vipaji vya kuigiza la Tanzania Movie Talents (TMT) linatarajiwa kufika kileleni, mshindi katika shindano hilo anatarajiwa kuweka historia ya aina yake. Akizungumza na Centre Spread, Meneja Mradi wa TMT, Saul Mpock alisema kuwa mwaka jana ambao ulikuwa ni msimu wa kwanza wa shindano hilo, Mwanaafa Mwinzago (13)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani