Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Mkenya Sarah Ikumu (15) afunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent, apewa ‘golden buzzer’

Muimbaji mwenye miaka 15, mtoto wa wazazi wa Kenya, Sarah Ikumu anaogelea kwenye dimbwi la ustaa baada ya Jumamosi iliyopita kufunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent.

Kuimba kwake kulimfanya awe mshiriki wa kwanza mwaka huu kupewa kitufe cha dhahabu (golden buzzer) kinachomaanisha kuwa anaingia moja kwa moja kwenye hatua inayofuata.

Sarah Ikumu ameanza kuimba kanisani tangu akiwa na miaka mitano.

Baba yake Alex Gatoto, kutoka Kenya ni mchungaji na amekuwa na mchango mkubwa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

DJ mdogo zaidi wa Afrika Kusini mwenye miaka 3 ashinda shindano la SA’s Got Talent 2015 (video)

dj Arch

DJ Arch Jnr ndiye DJ mdogo zaidi wa Afrika Kusini aliyeibuka mshindi wa shindano la South Africa’s Got Talent 2015 na kuondoka na zawadi kubwa ya R500,000 (shilingi milioni 74) baada ya kuwashinda washiriki wengine sita katika fainali iliyofanyika Jumapili ya Nov.8 jijini Johannesburg.

dj Arch

Oratilwe Hlongwane a.k.a DJ Arch Jnr mwenye umri wa miaka 3 ndiye mshindi wa kwanza mwenye umri mdogo katika historia ya mashindano hayo.

We have a winner! Congratulations DJ Arch Jnr....

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA AMANI TALENT SEARCH LAENDELEA, WASHIRIKI WATANO WABAKI

Baadhi ya washiriki wakikamua jukwaani. Majaji wakiwasikiliza kwa makini washiriki.  Kutoka kushoto ni:…

 

11 years ago

GPL

MOUREEN AIBUKA SUPA STAA WA SHINDANO LA MO KIDS GOT TALENT 2013

Kijana Salum Nyangumwe (17) mshindi wa pili aliyeimba wimbo wa My Number One wa Msanii Nasib Abdul a.k.a Diamond wakati wa fainali za kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la ”MO Kids Got Talent 2013" lililofanyika mwishoni mwa Juma kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Supa Staa wa Shindano la "MO Kids Got Talent 2013"… ...

 

10 years ago

Michuzi

shindano la Ndovu Golden Experience lapata mshindi wake wa pili

MSHINDI wa pili ya shindano la Ndovu Golden Experience Amand Kimario amewapiga kumbo washiriki wenzake katika shindano hilo na kujinyakulia nafasi ya kutembelea hifadhi ya Selous mwakani.
Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt ambao ndio waratibu wa shindano hilo Pamela Kikuli alisema, lengo la kuandaa shindano hilo ni kwa ajili ya kuwapa fursa Watanzania kutembelea hifadhi na kujivunia utalii wao wa ndani.
Pamela alisema, mshindi huyo...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Shaa na Jackie wapoteza mbaya kwenye Coke Studio na ‘Subira’

Shaa na Jackie Chandiru wamepokea pongezi nyingi kutokana show ya wimbo ‘Subira’ kwenye kipindi cha Coke Studio Africa. Jionee mwenyewe kwanini show yake imeshangiliwa zaidi.

 

11 years ago

Bongo5

Video: Mizengo Pinda apewa shavu kwenye The Colbert Report ya Comedy Central.. lakini si kama unavyodhani

Kutajwa kwenye show kubwa inayotazamwa kwenye channel ya TV inayoangaliwa mno nchini Marekani, Comedy Central si kitu cha kuchukulia poa hasa kama aliyetajwa ni Mtanzania. Mtangazaji wa kipindi cha The Colbert Report, Stephen Colbert jana amempa shavu waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda wakati akikikosoa kitabu cha mke wa rais wa zamani wa Marekani, Bill […]

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA cha Sherlys pharmaceutical LTD chaibuka kidedea kwenye shindano la KAIZEN, kuwakilisha katika shindano la KAIZEN Afrika

KIWANDA cha Sherlys pharmaceutical LTD cha Mwenge jijini Dar es Salaam chaibuka kidedea katika shindano la nne la KAIZEN lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Akizungumza wakati wa kuwapa tuzo za ushindi wa kiwanda bora za KAIZEN jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa wizara ya Viwanda na Biashara, Riziki Shemdoe amesema kuwa kiwanda kilichoshinda kitatuwakilisha katika mashindano ya KAIZEN kwa nchi za Afrika zitakazofanyika Mwakani 2020 nchini Afrika Kusini.
"Sisis kama Sherlys...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani