DJ mdogo zaidi wa Afrika Kusini mwenye miaka 3 ashinda shindano la SA’s Got Talent 2015 (video)
DJ Arch Jnr ndiye DJ mdogo zaidi wa Afrika Kusini aliyeibuka mshindi wa shindano la South Africa’s Got Talent 2015 na kuondoka na zawadi kubwa ya R500,000 (shilingi milioni 74) baada ya kuwashinda washiriki wengine sita katika fainali iliyofanyika Jumapili ya Nov.8 jijini Johannesburg.
Oratilwe Hlongwane a.k.a DJ Arch Jnr mwenye umri wa miaka 3 ndiye mshindi wa kwanza mwenye umri mdogo katika historia ya mashindano hayo.
We have a winner! Congratulations DJ Arch Jnr....
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)
Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ. Mtoto huyo alianza kuchukua headlines kabla ya kushinda kwenye shindano la S.A Got Talent 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov […]
The post Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-2ltoysVEJOA/VViriN76QBI/AAAAAAADnLM/d2kfzcud0xE/s72-c/Daudi%2BMrindoko.jpg)
KIJANA DAUDI MRINDOKO MGOMBEA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI KILIMANJARO
![](http://3.bp.blogspot.com/-2ltoysVEJOA/VViriN76QBI/AAAAAAADnLM/d2kfzcud0xE/s640/Daudi%2BMrindoko.jpg)
Wakati tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi mkuu 2015,mengi ya kufurahisha yanahibuka kama vile wananchi wa jimbo la Moshi Mjini kumshawishi mgombea waokijana Daudi Babu Mrindoko achukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo 2015,na kumiminia sifa zote zinazofaa kijana huyo wa mjini Moshi achaguliwe.wakazi hao wa jimbo la Moshi Mjini kwa sasa wanadai kuwa kijana wao waliomshawishi achukue fomu ndiye Mgombea kijana mwenye umri mdogo kuliko wengine wote wenye nia ya kugombea...
9 years ago
Michuzi26 Dec
Asha Salum ‘Kidoa’ ashinda Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015
![IMG_1255](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/IMG_12551.jpg)
Fainali ya lile Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015 ilifanyika jana ambapo Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ aliibuka kidedea. Kidoa alitangazwa mshindi kufuatia kupigiwa kura nyingi na wasomaji wa Gazeti la Ijumaa hivyo...
5 years ago
Bongo514 Feb
Video: Mkenya Sarah Ikumu (15) afunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent, apewa ‘golden buzzer’
Muimbaji mwenye miaka 15, mtoto wa wazazi wa Kenya, Sarah Ikumu anaogelea kwenye dimbwi la ustaa baada ya Jumamosi iliyopita kufunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent.
Kuimba kwake kulimfanya awe mshiriki wa kwanza mwaka huu kupewa kitufe cha dhahabu (golden buzzer) kinachomaanisha kuwa anaingia moja kwa moja kwenye hatua inayofuata.
Sarah Ikumu ameanza kuimba kanisani tangu akiwa na miaka mitano.
Baba yake Alex Gatoto, kutoka Kenya ni mchungaji na amekuwa na mchango mkubwa...
10 years ago
Bongo514 Dec
Rolene Strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Mrembo wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXiKii5t5ttcW9mcZ3EICMhUzinDr9j0mMoouTmOcDBdUSrd5Ywh6A30j8EHRzsbXZnVjbGO3bpqbGpUAwLwCPmIdS8S6HME/breakingnews.gif)
ROLENE STRAUSS WA AFRIKA KUSINI ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014