Home Shopping Centre yamzawadia mshindi wake wa kwanza wa shindano la 'pendezesha nyumba na HSC'
Na Andrew Chale
KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za majumbani na ofisini ya Home Shopping Centre (HSC) imemzawadia mshindi wake wa kwanza wa ‘pendezesha nyumba na HSC’, Rehane Jaffer zawadi ya sh 500,000. Shindano hilo linaendeshwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kwa jina la ‘Give a Way’.
Mshindi alikabidhiwa hundi ya kiasi hicho cha pesa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Meneja Mauzo na Masoko wa HSC, Nadhir Mubarak Bahayan ambaye aliwataka watanzania kushiriki shindano hilo...
Michuzi