Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKAZI wa Kijichi ajishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous kupitia Ndovu Golden Experience

MKAZI wa Kijichi Jijini Dar es Salaam, Samson Marwa amejishindia nafasi ya kutembelea hifadhi ya wanyama ya Selous katika droo inayoendeshwa na bia ya Ndovu kupitia kampeini yake ya ‘Ndovu Golden Experience’.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa bia ya Ndovu Victoria Kimaro alisema, mshindi huyu ameibuka kidedea baada ya kuwagaragaza wenzake katika kampeini hiyo na kupata nafasi ya kwenda katika hiyo hifadhi na mtu mmoja.
Victoria alisema, lengo la kuanzisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Ndovu Golden Experience Wazulu hifadhi za Selous

Baadhi ya washindi wa program ya Ndovu Golden Experience iliyokuwa ikiendeshwa na TBL kupitia bia yake ya Ndovu wakirejea jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzulu katika hifadhi ya Selous kwa siku mbili mwishoni mwa wiki. Baadhi ya washindi wa program ya Ndovu Golden Experience iliyokuwa ikiendeshwa na TBL kupitia bia yake ya Ndovu wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Kampi ya Lake Manze(katikati) walipokwenda kujionea vivutio mbalimbali katika mbuga hiyo mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

TheCitizen

Dar resident wins Ndovu Golden Experience draw

Samson Marwa of Dar es Salaam has won Ndovu Golden Experience lucky draw conducted yesterday in the city.

 

10 years ago

Michuzi

shindano la Ndovu Golden Experience lapata mshindi wake wa pili

MSHINDI wa pili ya shindano la Ndovu Golden Experience Amand Kimario amewapiga kumbo washiriki wenzake katika shindano hilo na kujinyakulia nafasi ya kutembelea hifadhi ya Selous mwakani.
Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt ambao ndio waratibu wa shindano hilo Pamela Kikuli alisema, lengo la kuandaa shindano hilo ni kwa ajili ya kuwapa fursa Watanzania kutembelea hifadhi na kujivunia utalii wao wa ndani.
Pamela alisema, mshindi huyo...

 

10 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini

 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya muendelezo wa harakati zake za kusaidia kuimarisha ulinzi wa Wanyama aina ya Tembo ili wasiuwawe hapa nchini,ikiwa ni Bia iliyobeba jina la Mnyama huyo,ambapo wametoa vifaa mbali mbali vya kusaidia ulinzi huo,ikiwa ni pamoja na Darubini kubwa (Binoculars) na trimble GPS ambazo zitasaidia katika harakati za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyama nchini.Kulia ni Meneja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkazi Nyegezi ajishindia tiketi kwenda Brazil

JASMEN Noah, mkazi wa Nyegezi jijini Mwanza, atakuwa mmoja wa maelfu ya mashabiki wa soka kutoka sehemu mbalimbali duniani wataokwenda Brazil kushuhudia ‘live’ kindumbwendumbwe cha michuano ya Kombe la Fifa...

 

5 years ago

Michuzi

Mkazi wa Iringa ajishindia milioni 10 za Tusua Mapene na Vodacom

Mshindi wa mwezi Machi wa shindano la TUSUA MAPENE NA VODACOM, Sharabi Myovela( mwenye fulana nyekundu) mkazi wa Iringa akiwa na familia yake mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 toka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC

 

10 years ago

Michuzi

Mkazi wa Kawe jijini Dar ajishindia Kitita cha Tsh milioni 100 za Jaymillions

Mkazi wa Kawe jijijini Dar es Salaam Irene Mrema ameibuka kuwa mshindi wa kitita cha fedha taslimu shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania. Mrema ambaye ni mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) amesema kuwa amefurahia ushindi huu na ana imani kitita alichojishindia kwa kiasi kikubwa kitayabadilisha maisha yake kuwa bora zaidi.”Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniona na nashukuru Vodacom kwa kuleta promosheni kwa ushindi huu...

 

10 years ago

GPL

MKAZI WA KAWE JIJINI DAR AJISHINDIA KITITA CHA TSH MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS‏

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (Kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati alipokuwa akimtangaza mshindi wa shilingi milioni 100  mwishoni mwa wiki kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo, ambapo Irene Mrema mkazi wa Kawe jijini Dar es Salam(30) alijishindia kitita hicho.Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini Jehud...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanyama watoweka pori la akiba la Selous

UJANGILI bado ni tishio kubwa kwa taifa hili, umesababisha baadhi ya wanyama waliokuwa wakipatikana karibu na maeneo ya pembezoni mwa barabara ya Kisaki kuelekea kwenye pori la akiba la Selous...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani