MKAZI WA KAWE JIJINI DAR AJISHINDIA KITITA CHA TSH MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (Kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati alipokuwa akimtangaza mshindi wa shilingi milioni 100Â mwishoni mwa wiki kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo, ambapo Irene Mrema mkazi wa Kawe jijini Dar es Salam(30) alijishindia kitita hicho.Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini Jehud...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMkazi wa Kawe jijini Dar ajishindia Kitita cha Tsh milioni 100 za Jaymillions
Mkazi wa Kawe jijijini Dar es Salaam Irene Mrema ameibuka kuwa mshindi wa kitita cha fedha taslimu shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania. Mrema ambaye ni mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) amesema kuwa amefurahia ushindi huu na ana imani kitita alichojishindia kwa kiasi kikubwa kitayabadilisha maisha yake kuwa bora zaidi.”Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniona na nashukuru Vodacom kwa kuleta promosheni kwa ushindi huu...
10 years ago
GPLMKAZI WA KAWE IRENE MREMA ACHOMOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS
Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Irene Mrema (kushoto) mkazi wa Kawe Jijijini Dar es Salaam akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) na Balozi wa promosheni hiyo Hillary...
10 years ago
MichuziMKAZI WA KAWE IRENE MREMA ACHOMOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS
Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Irene Mrema (kushoto) mkazi wa Kawe Jijijini Dar es Salaam akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) na Balozi wa promosheni hiyo Hillary Daud”Jaymillions”kulia baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo...
10 years ago
GPLMSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika...
10 years ago
GPLMWANAFUNZI WA SAUT MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH MILIONI 1ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja (kulia) akitoa fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni 1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda ya ziwa Dominician Mkama (kushoto.…
10 years ago
MichuziMshindi wa milioni 100 za Jaymillions kukabidhiwa kitita cha fedha alizojishindia
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kulia) akimsikiliza kwa makini mshindi wa milioni 100/-kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo Bi.Uwezo Magedenge (22) akimfafanulia jambo kuhusiana na ushindi wake,wakati alipomtembelea kijijini kwao Pamilini Kilolo mkoa wa Iringa kwa ajili ya kumchukua na kumpeleka jijini Dar es Salaam, kwa makabidhiano rasmi ya kitita chake hivi karibuni.Wengine katika picha kushoto ni Mama yake mzazi Delfine Kisoma(64) na...
10 years ago
MichuziMWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA
Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama(kushoto)akiongea na Evarista Minja(wapili toka kulia)na marafiki zake alipomtembelea Mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha SAUT jijini Mwanza kwaajili ya kumkabidhi kitita chake cha shilingi Milioni 1/-alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja(kulia)akitoa fedha...
10 years ago
GPLMSHINDI WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS KUKABIDHIWA KITITA CHAKE
Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Uwezo Magedenge (22) akiwa nyumbani kwao kijiji cha Pamilini Kilolo Mkoa wa Iringa akiendelea na shughuri zake za nyumbani wakati alipotembelewa na maofisa wa Vodacom Tanzania kijijini hapo kwa ajili ya kumchukua na kumpeleka jijini Dar es Salaam kwa makabidhiano rasmi ya kitita chake hivi karibuni.
Meneja...
10 years ago
MichuziMshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake
Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania