Mkazi wa Kawe jijini Dar ajishindia Kitita cha Tsh milioni 100 za Jaymillions
![](http://2.bp.blogspot.com/-WhQWBqZ5_FI/VTN1F_GjPuI/AAAAAAAHR9w/rAilCeOPvgo/s72-c/unnamed%2B(56).jpg)
Mkazi wa Kawe jijijini Dar es Salaam Irene Mrema ameibuka kuwa mshindi wa kitita cha fedha taslimu shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania. Mrema ambaye ni mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) amesema kuwa amefurahia ushindi huu na ana imani kitita alichojishindia kwa kiasi kikubwa kitayabadilisha maisha yake kuwa bora zaidi.”Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniona na nashukuru Vodacom kwa kuleta promosheni kwa ushindi huu...
Michuzi