Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshindi wa milioni 100 za Jaymillions kukabidhiwa kitita cha fedha alizojishindia

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kulia) akimsikiliza kwa makini mshindi wa milioni 100/-kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo Bi.Uwezo Magedenge (22) akimfafanulia jambo kuhusiana na ushindi wake,wakati alipomtembelea kijijini kwao Pamilini Kilolo mkoa wa Iringa kwa ajili ya kumchukua na kumpeleka jijini Dar es Salaam, kwa makabidhiano rasmi ya kitita chake hivi karibuni.Wengine katika picha kushoto ni Mama yake mzazi Delfine Kisoma(64) na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS KUKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Uwezo Magedenge (22) akiwa nyumbani kwao kijiji cha Pamilini Kilolo Mkoa wa Iringa  akiendelea na shughuri zake za nyumbani wakati alipotembelewa na maofisa  wa Vodacom Tanzania  kijijini hapo kwa  ajili ya kumchukua na kumpeleka jijini Dar es Salaam kwa makabidhiano rasmi ya kitita chake hivi karibuni.
Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake

 Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

GPL

MSHINDI MWINGINE WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE‏

Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika...

 

10 years ago

Michuzi

MKAZI WA KAWE IRENE MREMA ACHOMOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS

Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Irene Mrema (kushoto) mkazi wa Kawe Jijijini Dar es Salaam akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) na Balozi wa promosheni hiyo Hillary Daud”Jaymillions”kulia baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

Mkazi wa Kawe jijini Dar ajishindia Kitita cha Tsh milioni 100 za Jaymillions

Mkazi wa Kawe jijijini Dar es Salaam Irene Mrema ameibuka kuwa mshindi wa kitita cha fedha taslimu shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania. Mrema ambaye ni mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) amesema kuwa amefurahia ushindi huu na ana imani kitita alichojishindia kwa kiasi kikubwa kitayabadilisha maisha yake kuwa bora zaidi.”Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniona na nashukuru Vodacom kwa kuleta promosheni kwa ushindi huu...

 

10 years ago

GPL

MKAZI WA KAWE JIJINI DAR AJISHINDIA KITITA CHA TSH MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS‏

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (Kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati alipokuwa akimtangaza mshindi wa shilingi milioni 100  mwishoni mwa wiki kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo, ambapo Irene Mrema mkazi wa Kawe jijini Dar es Salam(30) alijishindia kitita hicho.Kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini Jehud...

 

10 years ago

GPL

MKAZI WA KAWE IRENE MREMA ACHOMOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS‏

Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Irene Mrema (kushoto) mkazi wa Kawe Jijijini Dar es Salaam akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) na Balozi wa promosheni hiyo Hillary...

 

10 years ago

Bongo5

Mshindi wa milioni 1/- kupitia promosheni ya JayMillions akabidhiwa kitita chake

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeledeshwa na Vodacom Tanzania amemkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1/- mshindi wa promosheni hiyo Claudia Mapunda ambae ni mkazi wa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alikabidhiwa fedha zake katika hafla fupi iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary […]

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE.

 Mkuu wa Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto)akimkabidhi kitita  cha shilingi Milioni 10/- James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.  Mshindi wa kitita cha Shilingi Milioni 10/- kupitia promosheni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani