Lowassa ahimiza wafuasi wampigie kura
MGOMBEA wa urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chadema, Edward Lowassa, amesema haitoshi kwa watu kuendelea kufurika katika mikutano yake pasipo kutia nia ya kumpigia kura ili aweze kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Nov
Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Wafuasi wa Lowassa waitesa CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Arusha kiko njia panda kutokana na hatua ya baadhi ya wa
Paul Sarwatt
10 years ago
Habarileo01 Aug
Wafuasi wa Lowassa Zanzibar wamtosa rasmi
WAJUMBE wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar waliokuwa kambi ya mtia nia ya urais, Edward Lowassa wametangaza kutomfuata kada huyo aliyehamia Chadema na kusema kumuunga mkono mgombea urais aliyepitishwa na chama hicho, John Magufuli.
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Masha, wafuasi wa Lowassa watupwa Segerea
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, kukamatwa na kulazwa kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam, amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka kisha kupelekwa katika Gereza la Segerea.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Masha alikamatwa juzi jioni baada ya kufika Kituo cha Polisi Osterbay, kwa lengo la kuwadhamini vijana 19 waliokuwa wamekamatwa kwa madai ya kukusanyika kinyume cha sheria.
Vijana hao...
10 years ago
Habarileo12 Jul
Wafuasi wa Lowassa walia na uamuzi wa Kamati Kuu
WAFUASI wa aliyekuwa akiwania uteuzi wa CCM kuwa mgombea urais, Edward Lowassa, ambaye hakupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wagombea bora watano, wamepaza sauti zao wakionesha kutoridhishwa kwa jina la mgombea huyo kuchujwa katika vikao vya uamuzi.
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-i7PdXL25xqQ/VohiT2BIquI/AAAAAAAAXnk/ulMfRG79iB8/s72-c/1.jpg)
Edward Lowassa alalamika wafuasi wake kuandamwa na Serkali
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura
Hatimaye uchaguzi umemalizika!
Kitila Mkumbo
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-au3Cp1u7Xqo/Vi0CI8mQlMI/AAAAAAAAW-g/vC3Sq13nhn0/s72-c/2X6A0449.jpg)
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Askofu Angowi ahimiza amani, ataka kura maoni