Kiemba, Kisiga waitesa Simba
HATIMA ya wachezaji Amri Kiemba, Haruna Chanongo na Shaabani Kisiga wa Simba kujerea dimbani, bado haijulikani, kutokana na kikao baina yao na Rais wa klabu hiyo, Evance Aveva, kushindwa kuzaa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKiemba, Kisiga watimuliwa Simba SC
Mkongwe wa Simba Amri Kiemba. Na Mwandishi Wetu
UNAWEZA kusema kimenuka Simba baada ya uongozi wake kuamua kuwaondoa kambini wachezaji wake watatu wakiwemo wakongwe wawili.Shabani Kisiga na Amri Kiemba wameondolewa kambini Simba mjini Mbeya na kutakiwa kurejea jijini Dar es Salaam wakati timu ikifunga safari hadi Iringa ambako itaweka kambi. Mwingine ambaye ameondolewa kambini ni kinda Haruna Chanongo ambaye ataungana na akina...
10 years ago
GPLKisiga arudishwa Simba, afukuzwa mazoezini
Kiungo wa Simba, Shaban Kisiga. Said Ally na Ibrahim Mussa
UONGOZI wa Klabu ya Simba, umeamua kumrudisha kiungo wake, Shaban Kisiga katika kikosi cha timu hiyo baada ya kumsimamisha kwa muda, kisa kikiwa ni utovu wa nidhamu na kucheza chini ya kiwango katika michezo iliyopita ya ligi kuu. Kiungo huyo mkongwe ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar, alirejea katika kikosi cha timu hiyo jana (Jumanne) ambacho kilikuwa...
11 years ago
GPLLoga awarudisha Boban, Kisiga Simba
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, Sweetbert Lukonge na Nassor Gallu
SIMBA ipo katika hatua za mwisho kuwasainisha mikataba mifupi viungo wakongwe nchini, Haruna Moshi ‘Boban’ na Shabani Kisiga ‘Maron’. Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema anataka viungo wawili wazoefu na si wale ambao wanataka kujifunza.Loga, raia wa Croatia, amesisitiza anataka wachezaji wa kazi ambao watamsaidia...
11 years ago
GPLKisiga alamba mwaka mmoja Simba
Straika wa zamani wa Simba, Shabani Kisiga. Na Ibrahim Mussa
IMEBAINIKA kuwa, Simba imempa mkataba wa mwaka mmoja straika wao wa zamani, Shabani Kisiga.
Chanzo kutoka ndani ya Simba kimeliambia Championi Jumatatu kuwa, mchezaji huyo kwa asilimia 99 tayari ameshasajiliwa na klabu hiyo lakini kinachosubiriwa sasa ni Kamati ya Usajili ya Simba kumalizana naye na hatimaye kutambulishwa. Tayari ameshaanza kujifua na timu hiyo...
10 years ago
GPLPhiri ampa Kisiga majukumu mazito Simba
Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amempa majukumu mazito kiungo wake, Shabani Kisiga kwa kumtaka kuhakikisha anasimamia suala la nidhamu katika kikosi hicho. Simba ipo kisiwani Unguja ambapo imeweka kambi ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 20, mwaka huu na wao wataanzia Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar....
10 years ago
VijimamboPENALTI YA KISIGA MAPINDUZI CUP YAUA SHABIKI WA SIMBA
Kitendo cha kiungo Shabani Kisiga kimesababisha kifo cha shabiki mmoja wa Simba jijini Dar es Salaam.Kisiga alikosa penalti wakati wa fainali ya Kombe la Mapinduzi jana dhidi ya Mtibwa Sugar ambayo iliisha kwa Simba kushinda kwa mikwaju 4-3.Kukosa kwa Kisiga kulifanya Simba iwe katika hatihati ya Simba kulikosa kombe hilo na inaelezwa mtu huyo alianguka na kuzimia na baadaye alipoteza maisha.Awali ilielezwa ni eneo la Mburahati, wengine wakaeleza ni Tegeta.Mtu mmoja alihojiwa na redio ya E...
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Ya Kiemba yatimia Azam
Simba imekubali kumwachia kiungo wake Amri Kiemba achezee kwa mkopo Azam ambako atasajiliwa kwa dau la Sh10 milioni.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Kiemba ‘Jembe’ Mapinduzi
KIUNGO mchezeshaji wa Wekundu wa Msimbazi, Simba, Amri Kiemba, ameweka rekodi ya kipekee katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2014, kwa kuifungia timu yake hiyo mabao ya ushindi yaliyoiwezesha kuingia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania