Kiemba, Kisiga watimuliwa Simba SC
![](http://api.ning.com:80/files/MBtHLqmI6t0FARl4Xt1EvqtrRTtVMM3t2od1Oczraw7gruONpW-3DVs7TlxoI**tlMo7q0wy9o-0b9Uo5qo4pE48aJNThvaW/kiemba.jpg)
Mkongwe wa Simba Amri Kiemba. Na Mwandishi Wetu UNAWEZA kusema kimenuka Simba baada ya uongozi wake kuamua kuwaondoa kambini wachezaji wake watatu wakiwemo wakongwe wawili.Shabani Kisiga na Amri Kiemba wameondolewa kambini Simba mjini Mbeya na kutakiwa kurejea jijini Dar es Salaam wakati timu ikifunga safari hadi Iringa ambako itaweka kambi. Mwingine ambaye ameondolewa kambini ni kinda Haruna Chanongo ambaye ataungana na akina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Kiemba, Kisiga waitesa Simba
HATIMA ya wachezaji Amri Kiemba, Haruna Chanongo na Shaabani Kisiga wa Simba kujerea dimbani, bado haijulikani, kutokana na kikao baina yao na Rais wa klabu hiyo, Evance Aveva, kushindwa kuzaa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68Xgg72yWYSDXzuwm5Qw4Z6dqPt8f53ll9RZSNTlATqo0b6RP-IyAISXT0LpCOb4sP4Gohv949M5ZLhTGAMq19VyMG/11.jpg)
Loga awarudisha Boban, Kisiga Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRmrgbNZVRD0jP0tXRn6gvg06nkFFExdINpnG2iFy3CCGXMyQt8mWEJ5238RrGkgZfvINNJXvPYwFjkgK2R5qtiT/kisiga.jpg)
Kisiga alamba mwaka mmoja Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8fil5gmLgTZdP5UMqIoHolK1bDU65GjVxGWsv5nNwpT0Ajt4G*gGxElmG3yuQB8zFUtlKFu4mGowBzzgv-DV4ijPy4xbPnDn/kisiga.jpg)
Kisiga arudishwa Simba, afukuzwa mazoezini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*UrBVuJvpA5VkfO0q5TAwWvsOTIXJw6*Qj0jvKLAMDQ6u0XVFnyCxuRgNxvvKntCsxKOgTMQDmy1PZOaXBOjlhM/Prili.jpg)
Phiri ampa Kisiga majukumu mazito Simba
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-TFjrozl2-Mk/VLbWIiMi2OI/AAAAAAADVhw/NJFPvOfgSTQ/s72-c/Kisiga--November7-2014.jpg)
PENALTI YA KISIGA MAPINDUZI CUP YAUA SHABIKI WA SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-TFjrozl2-Mk/VLbWIiMi2OI/AAAAAAADVhw/NJFPvOfgSTQ/s1600/Kisiga--November7-2014.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Ya Kiemba yatimia Azam
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Kiemba ‘Jembe’ Mapinduzi
KIUNGO mchezeshaji wa Wekundu wa Msimbazi, Simba, Amri Kiemba, ameweka rekodi ya kipekee katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2014, kwa kuifungia timu yake hiyo mabao ya ushindi yaliyoiwezesha kuingia...