Ya Kiemba yatimia Azam
Simba imekubali kumwachia kiungo wake Amri Kiemba achezee kwa mkopo Azam ambako atasajiliwa kwa dau la Sh10 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wawa atua Azam, Kiemba agomewa
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Kiemba afurahia kuweka rekodi akiwa Azam
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Kauli ya JK yatimia Kalenga
KAULI ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete kutaka wanachama wa chama hicho kuacha upole na kujibu mapigo kwa wapinzani imetimia katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Kiemba ‘Jembe’ Mapinduzi
KIUNGO mchezeshaji wa Wekundu wa Msimbazi, Simba, Amri Kiemba, ameweka rekodi ya kipekee katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2014, kwa kuifungia timu yake hiyo mabao ya ushindi yaliyoiwezesha kuingia...
11 years ago
Mwananchi08 Aug
MAENDELEO: Ndoto ya maji safi Mweteni sasa yatimia
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Kiemba, Kisiga waitesa Simba
HATIMA ya wachezaji Amri Kiemba, Haruna Chanongo na Shaabani Kisiga wa Simba kujerea dimbani, bado haijulikani, kutokana na kikao baina yao na Rais wa klabu hiyo, Evance Aveva, kushindwa kuzaa...
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Kiemba ‘amliza’ Matola mazoezini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MBtHLqmI6t0FARl4Xt1EvqtrRTtVMM3t2od1Oczraw7gruONpW-3DVs7TlxoI**tlMo7q0wy9o-0b9Uo5qo4pE48aJNThvaW/kiemba.jpg)
Kiemba, Kisiga watimuliwa Simba SC
9 years ago
Habarileo22 Nov
Kiemba ampa somo Elias Maguli
KIUNGO wa Stand United, Amri Kiemba amemtaka mshambuliaji wa timu hiyo Elias Maguli kutokimbilia timu kubwa kipindi hiki badala yake aendelee kuitumikia timu hiyo ili kukuza kiwango chake na kupata uzoefu wa kutosha.