PENALTI YA KISIGA MAPINDUZI CUP YAUA SHABIKI WA SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-TFjrozl2-Mk/VLbWIiMi2OI/AAAAAAADVhw/NJFPvOfgSTQ/s72-c/Kisiga--November7-2014.jpg)
Kitendo cha kiungo Shabani Kisiga kimesababisha kifo cha shabiki mmoja wa Simba jijini Dar es Salaam.Kisiga alikosa penalti wakati wa fainali ya Kombe la Mapinduzi jana dhidi ya Mtibwa Sugar ambayo iliisha kwa Simba kushinda kwa mikwaju 4-3.Kukosa kwa Kisiga kulifanya Simba iwe katika hatihati ya Simba kulikosa kombe hilo na inaelezwa mtu huyo alianguka na kuzimia na baadaye alipoteza maisha.Awali ilielezwa ni eneo la Mburahati, wengine wakaeleza ni Tegeta.Mtu mmoja alihojiwa na redio ya E...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ-TigwtWLzPxStLS9xu8ZbCj*6yu7qYVOo2UeGNlCB*OIivMDHmZTzQc981AUXQV3cMKxK2ZjOWmqtA8qZ9F3iE/1666666.jpg)
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …
Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]
The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Penalti zaing’oa Kili Stars Chalenji Cup
NA MWANDISHI WETU
PENALTI mbili za timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, zilizopigwa na kiungo Jonas Mkude na beki Shomari Kapombe, zimeing’oa timu hiyo kwenye michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuchezwa na kipa Abel Mamo wa Ethiopia na kuwavusha wenyeji hao katika hatua ya nusu fainali.
Mamo alizicheza vema penalti hizo na kuiongoza Ethiopia kutinga hatua hiyo kwa ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3, kufuatia dakika 90 matokeo kwisha kwa sare ya bao 1-1 na sasa Ethiopia...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Kiemba, Kisiga waitesa Simba
HATIMA ya wachezaji Amri Kiemba, Haruna Chanongo na Shaabani Kisiga wa Simba kujerea dimbani, bado haijulikani, kutokana na kikao baina yao na Rais wa klabu hiyo, Evance Aveva, kushindwa kuzaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MBtHLqmI6t0FARl4Xt1EvqtrRTtVMM3t2od1Oczraw7gruONpW-3DVs7TlxoI**tlMo7q0wy9o-0b9Uo5qo4pE48aJNThvaW/kiemba.jpg)
Kiemba, Kisiga watimuliwa Simba SC
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Shabiki mkongwe wa Simba amuomba MO kuendeleza mpango wake wa kuinunua Simba
Pichani ni Mohammed Dewji alipokuwa mgeni rasmi wa tamasha la Simba Day, akisalimiana na mmoja wa wadau kwenye jukwaa kuu. Kulia ni Nyange Kaburu. (Picha na Maktaba yetu).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mmoja wa mashabiki wa wakongwe wa klabu ya Simba, Stanbul Mponda amemuomba Bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji ‘MO’ kuendeleza mipango yake ya kuinunua Simba ili aweze kufanya uwekezaji kama alivyokuwa amepanga awali.
Mponda ameyasema hayo ikiwa ni siku chache zimepita za tarehe ya mwisho...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8fil5gmLgTZdP5UMqIoHolK1bDU65GjVxGWsv5nNwpT0Ajt4G*gGxElmG3yuQB8zFUtlKFu4mGowBzzgv-DV4ijPy4xbPnDn/kisiga.jpg)
Kisiga arudishwa Simba, afukuzwa mazoezini
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRmrgbNZVRD0jP0tXRn6gvg06nkFFExdINpnG2iFy3CCGXMyQt8mWEJ5238RrGkgZfvINNJXvPYwFjkgK2R5qtiT/kisiga.jpg)
Kisiga alamba mwaka mmoja Simba