Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAINALI MAPINDUZI CUP KATI YA SIMBA NA MTIBWA KESHO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SIMBA, MTIBWA SUGAR ZAKUTANA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

Wachezaji wa Simba wakishangilia baoWEKUNDU wa Msimbazi Simba wametinga fainali ya kombe la Mapinduzi kufuatia kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Polisi katika mechi wa nusu fainali ya kombe hilo iliyomalizika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.MABINGWA wa zamani wa Tanzania mara mbili mfululizo, 1999 na 2000, Mtibwa Sugar ya Morogoro wametinga fainali ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2015 kufuatia kuitandika JKU ya Zanzibar penalti 4-3. Credit:ShaffihDauda

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

SIMBA NA MTIBWA KOMBE LA MAPINDUZI KATIKA PICHA

Mshambuliaji wa timu ya Simba Ramadhani Singano Messi, akimpita beki wa timu ya Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wao wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan, Timu ya Simba imeshinda kwa penenti 4--3Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi liofanyika usiku huu uwanja wa amaan Zanzibar timu ya Simba imeshinda mchezo huo na kuwa Bingwa kwa mwaka 2015 bingwa Mapinduzi Cup.Mshambuliaji wa timu ya Simba Emanuel Okwi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni shughuli nusu fainali Mapinduzi Cup Leo

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wanashuka kwenye dimba la Amaan hapa Unguja kuwavaa Watoza Ushuru wa Mamlaka ya Mapato Uganda (URA), katika nusu fainali ya pili ya Kombe la...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yatinga robo fainali Mapinduzi Cup

Pg 32 leo

TIMU ya Yanga jana ilitinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Polisi ya humo mabao 4-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Timu hizo zilizopo katika Kundi A ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zao za kwanza, ambapo Yanga iliifunga Jango’mbe kwa mabao 4-0, huku Polisi ikiifunga Shaba ya huko kwa bao 1-0.
Shujaa wa Yanga kwenye mchezo huo alikuwa ni winga wake wa kushoto, Mbrazil Andrey...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yaenda Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar kesho

>Simba imeondoka jana Dar es Salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa pambano lake la Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba yatinga nusu Fainali ya Mapinduzi

Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuichakaza Taifa Jang'ombe mabao 4-0 katika kuwania kombe la Mapinduzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani