Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA, MTIBWA SUGAR ZAKUTANA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

Wachezaji wa Simba wakishangilia baoWEKUNDU wa Msimbazi Simba wametinga fainali ya kombe la Mapinduzi kufuatia kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Polisi katika mechi wa nusu fainali ya kombe hilo iliyomalizika usiku huu uwanja wa Amaan Zanzibar.MABINGWA wa zamani wa Tanzania mara mbili mfululizo, 1999 na 2000, Mtibwa Sugar ya Morogoro wametinga fainali ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2015 kufuatia kuitandika JKU ya Zanzibar penalti 4-3. Credit:ShaffihDauda

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SIMBA NA MTIBWA KOMBE LA MAPINDUZI KATIKA PICHA

Mshambuliaji wa timu ya Simba Ramadhani Singano Messi, akimpita beki wa timu ya Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wao wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan, Timu ya Simba imeshinda kwa penenti 4--3Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi liofanyika usiku huu uwanja wa amaan Zanzibar timu ya Simba imeshinda mchezo huo na kuwa Bingwa kwa mwaka 2015 bingwa Mapinduzi Cup.Mshambuliaji wa timu ya Simba Emanuel Okwi,...

 

11 years ago

GPL

HALF TIME FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: SIMBA 0, KCC 1

Timu za Simba na KCC zikisubiri kukaguliwa kabla ya mtanange kuanza kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KWA sasa ni mapumziko katika mechi ya fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba SC na KCC ya Uganda ndani ya Uwanja wa Amaan mjini Unguja. KCC wako mbele kwa bao…

 

9 years ago

Mwananchi

Mtibwa Sugar yajisafishia njia Mapinduzi

Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo umeihakikishia Mtibwa Sugar nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

 

5 years ago

StarTV

Mtibwa Sugar yaiondosha Polisi Moro kombe la FA

Timu ya maafande wa Polisi Morogoro inayoshiriki ligi Daraja la Kwanza ngazi ya Taifa, imetupwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho, baada ya kushindwa kutamba mbele ya mahasimu wao, wakata miwa Turiani timu ya Mtibwa Sugar, kupitia mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulimalizika kwa timu zote mbili kutoka sare ya goli mbili kwa mbili …

 

11 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR

HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda  nafasi ya tatu, sawa na  Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtibwa Sugar yataka ‘salio’ Simba

SIKU chache baada ya Klabu ya Simba kumsainisha kipa Hussen Sharif ‘Casillas’, kutoka Mtibwa Sugar, wakali hao kutoka Turiani, Morogoro, wameibuka na kusema usajili wa nyota huyo ni kinyume na...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC, Mtibwa Sugar kiama leo

Ni fainali ya aina yake ya Kombe la Mapinduzi baina ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mtibwa Sugar na Simba.

 

11 years ago

GPL

MTIBWA SUGAR, SIMBA KUUMANA MOROGORO

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 16 kesho (Februari 5 mwaka huu) kwa mechi tano huku Mtibwa Sugar ikiikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kiingilio katika mechi hiyo ambayo itakuwa ya kwanza kuchezwa kwenye uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000 tangu uanze mzunguko wa pili wa VPL kitakuwa sh. 5,000. Jonisia Rukyaa kutoka Bukoba ndiye atakayechezesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani