SIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR
HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda nafasi ya tatu, sawa na Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO
10 years ago
Michuzi01 Nov
SIMBA YAZIDI KUELEMEWA NA DROO, YATOKA SARE NA MTIBWA 1-1 LEO...
![](https://3.bp.blogspot.com/-6Yo3vwX6h1Q/VFUZKdL7JKI/AAAAAAAAv2M/LKnQX78DPHU/s1600/Simba%2C%2BMtibwa.jpg)
11 years ago
MichuziMTIBWA SUGAR WATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA NA YANGA
Na MATUKIO NA VIJANA...
10 years ago
Michuzisimba yatoka sare ya 1-1 na Stand United
MATOKEO YOTE YA LEO
SIMBA 1- STAND UNITED 1PILISI MORO 1- KAGERA...
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Yanga yatoka sare,Simba yapeta
10 years ago
GPLSIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA
10 years ago
MichuziSIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA COAST UNION,YATOKA SARE YA BAO 2-2
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Simba SC, Mtibwa Sugar kiama leo
11 years ago
GPLMTIBWA SUGAR, SIMBA KUUMANA MOROGORO