Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTIBWA SUGAR WATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA NA YANGA


Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Iliyoanza Leo Dhidi Ya  Yanga. Waliosimama Kutoka Kushoto : Salum Mbonde,Dickson Daud,Abdalah Juma, Ally Shomary, Shaban Nditi,Walioinama Kutoka Kushoto : Vicent Barnabas, Said Mkopi,ShabanKisiga,Husein Ramadhan, Paul Ngalema  Kikosi cha Timu ya  Yanga Kilichoanza Leo : Kutoka Kushoto Didier Kavumbangu, Haroub Canavaro,Khamis Kiiza,Oscar Joshua,Frank Domayo,Simon Msuva, Juma Abdul,Nizar Khalifan,Mbeleni Juma Kaseja. 






Na  MATUKIO NA VIJANA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMBA YATOKA SARE NA MTIBWA SUGAR

HATIMAYE ubishi wa timu ya Mtibwa na wekundu wa msimbazi Simba umemalizika leo hii uwanja wa taifa baada ya kuchoshana nguvu kwa kufungana sare ya 1-1. Matokeo hayo, yanaiongezea Simba na kufikisha pointi 31 kibindoni na kupanda  nafasi ya tatu, sawa na  Vinara Mbeya city wenye pointi 31. Mfungaji wa Simba ni Hamisi Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili na Mtibwa Sugar ni Hasani Mgosi dakika ya 40 kipindi cha kwanza. ...

 

10 years ago

GPL

YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5… ...

 

10 years ago

GPL

SIMBA, YANGA WATOKA SARE TAIFA, DAR

Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza leo dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Taifa Dar. Kikosi cha timu ya Yanga kilichonza dhidi ya Simba.…

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO

Kikosi cha Timu ya Soka ya Simba   Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa  Waamuzi wa Mchezo wa Leo wakiwa na Manaodha wa Timu Zote Mbili.  Wachezaji wa Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Wkishanilia Goli Lililofungwa na Musa Mgosi  Katika Dakika ya 18 ya Mchezo.  Rashid Baba Ubaya Akitafuta Mbinu za Kumtoka Beki wa Mtibwa Sugar Said Mkopi.  Kipa wa Mtibwa Hasani  Sharifu    Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo wakishangilia muda wote wa Mchezo  Golikipa wa Timu ya Mtibwa Sugar Hussein...

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam ,Yanga na Mtibwa wakubali sare

Ligi kuu ya Tanzania imeingia kwenye mzunguko wa pili kwa kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali mwishoni mwa juma.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YA MAXIMO YACHARAZWA 2-0 NA MTIBWA SUGAR JAMHURI…JAJA AKOSA PENALTI

Na Baraka Mpenja
MBRAZIL Marcio Maximo amepoteza mechi yake ya kwanza akiiongoza Yanga baada ya kukubali kipigo ‘swaafi’ kabisa cha mabao 2-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar, uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro jioni hii.Katika mechi hiyo ya kukata na shoka, Mbrazil mwingine, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ naye ameweka rekodi ya kukosa mkwaju wa kwanza wa penalti akiichezea Yanga katika mechi yake ya kwanza ya ligi kuu.
Mabingwa hao wa 1999 na 2000 wakiongozwa na mwanafunzi wa zamani wa Maximo, Mecky...

 

9 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu ambazo zinatafuta nafasi ya kusogelea kuelekea kileleni mwa msimamo wa Ligi. Mchezo wa December 30 ulikuwa unazikutanisha timu ya Azam FC dhidi ya klabu ya […]

The post Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani