YANGA YA MAXIMO YACHARAZWA 2-0 NA MTIBWA SUGAR JAMHURI…JAJA AKOSA PENALTI
Na Baraka Mpenja
MBRAZIL Marcio Maximo amepoteza mechi yake ya kwanza akiiongoza Yanga baada ya kukubali kipigo ‘swaafi’ kabisa cha mabao 2-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar, uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro jioni hii.Katika mechi hiyo ya kukata na shoka, Mbrazil mwingine, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ naye ameweka rekodi ya kukosa mkwaju wa kwanza wa penalti akiichezea Yanga katika mechi yake ya kwanza ya ligi kuu.
Mabingwa hao wa 1999 na 2000 wakiongozwa na mwanafunzi wa zamani wa Maximo, Mecky...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Pw1dkMtiMTtxd5VKBujEEeDNoNVRHBmSJ4ieg4CsYI7l3un6o9oVZSBZOJ6J63t2*y0KB7bdyHojhALMFN*7vzRUCQ2yQ*0x/yanga.jpg?width=650)
YANGA SC YAPIGWA 2-0 JAJA AKOSA PENALTI MOROGORO
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/s6FOf8W4TCY/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Jaja ‘out’ Yanga, Maximo aleta nyota mwingine
11 years ago
MichuziMTIBWA SUGAR WATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA NA YANGA
Na MATUKIO NA VIJANA...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/YANGA-MTIBWA-2.jpg)
VPL: MTIBWA VS YANGA, UWANJA WA JAMHURI MOROGORO
9 years ago
Vijimambo01 Oct
KUTOKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO HII NDIYO YANGA 2 MTIBWA 0
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Simba-vs-Yanga-1.jpg)
Baada ya kuvunja uteja kwa watani wao wa jadi Simba Taifa sasa waendeleza kuvunja uteja ndani ya uwanja wa jamhuri wakiwazamisha walima miwa wa mashamba ya mtibwa kwa bao 2 bila majibu. Mtibwa wapisha njia wenyewe kwa kulala na kipigo sawa na walichopewa Simba jumamosi iliyopita.Yanga sasa mambo mbele kwa mbele wazidi kuwa watamu uwanjani.
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 30 kwa mchezo mmoja wa kiporo kumaliziwa katika dimba la Azam Complex Mbande Chamazi. Huu ni mchezo ambao ulikuwa unakutanisha timu ambazo zinatafuta nafasi ya kusogelea kuelekea kileleni mwa msimamo wa Ligi. Mchezo wa December 30 ulikuwa unazikutanisha timu ya Azam FC dhidi ya klabu ya […]
The post Ushindi wa Azam FC waishusha Yanga kileleni, cheki pichaz walivyoiadhibu Mtibwa Sugar Dec 30 appeared first on TZA_MillardAyo.