YANGA SC YAPIGWA 2-0 JAJA AKOSA PENALTI MOROGORO
![](http://api.ning.com:80/files/Pw1dkMtiMTtxd5VKBujEEeDNoNVRHBmSJ4ieg4CsYI7l3un6o9oVZSBZOJ6J63t2*y0KB7bdyHojhALMFN*7vzRUCQ2yQ*0x/yanga.jpg?width=650)
Mchezaji wa timu ya Yanga, Mrisho Ngassa akimtoka mchezaji wa Mtibwa Sugar (Picha na maktaba). YANGA SC imeanza kwa kipigo cha mabao 2-0 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutoka Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro mshambuliaji Genilson Santana ‘Jaja’ akikosa penalti. Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa, Dominick Nyamisana wa Dodoma, aliyesaidiwa na Ferdinand Chacha wa Mwanza na Milambo Tshikungu wa Mbeya,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Sep
YANGA YA MAXIMO YACHARAZWA 2-0 NA MTIBWA SUGAR JAMHURI…JAJA AKOSA PENALTI
![](http://shaffihdauda.com/wp-content/uploads/2014/09/yanga-team-1-640x320.jpg)
MBRAZIL Marcio Maximo amepoteza mechi yake ya kwanza akiiongoza Yanga baada ya kukubali kipigo ‘swaafi’ kabisa cha mabao 2-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar, uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro jioni hii.Katika mechi hiyo ya kukata na shoka, Mbrazil mwingine, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ naye ameweka rekodi ya kukosa mkwaju wa kwanza wa penalti akiichezea Yanga katika mechi yake ya kwanza ya ligi kuu.
Mabingwa hao wa 1999 na 2000 wakiongozwa na mwanafunzi wa zamani wa Maximo, Mecky...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m5DCNqwNmKbfe8PMgFpMvCgAiFELwoz4n7rcWWUuKDEhuh2rSO4BVNC868JGJ9ERi0z-Y3*zkElF2EyLCooPa-cIUE-a*5X0/penalti.jpg?width=650)
Penalti ya Kiiza yazua mazito Yanga SC
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uXW0-78Tmug/VY7ak-tIaLI/AAAAAAABNOU/kpZKRlZQBhk/s72-c/5.jpg)
YANGA VS VILLA HAKUNA MBABE, MSUVA APAISHA PENALTI, MWASHYUYA, KASEKE WATAKATA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uXW0-78Tmug/VY7ak-tIaLI/AAAAAAABNOU/kpZKRlZQBhk/s640/5.jpg)
Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na SC Villa ya Uganda imemalizika kwa sare ya 0-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amekosa penati waliyopata Yanga katika kipindi cha pili baada ya kupaisha bonge ya ‘mnazi’.
![](http://4.bp.blogspot.com/-kTTUCCt4nQs/VY7ak7IeyfI/AAAAAAABNOY/TaeFtJ9RuRM/s640/4.jpg)
Acha hayo yote, burudani ilikuwa zaidi kwa Geofrey Mwasyuya na Deus Kaseke ambao walicheza vizuri katika mechi ya leo.Uwezo waliouonyesha wawili hao kwa kushirikiana na Malimi Busungu, imeonyesha Yanga inaweza kuwa na kikosi bora zaidi hapo...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Jaja aipaisha Yanga
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Jaja amwaga wino Yanga
HATIMAYE Klabu ya Yanga, jana ilimsainisha mkataba wa miaka miwili Mbrazil Geilson Santos Santana ‘Jaja’, wa kukipiga katika kikosi cha timu hiyo kuanzia msimu ujao. Jaja, anakuwa nyota wa pili...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Yanga yamkomalia Jaja kortini
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Nyota Yanga wamlilia Jaja
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDrvWcOZ-Ev83-TX6tF6a81kn1bjq76tuFYWe364t6KeL*uSUegATFQCqpioDesPpRA4PcDwcrXY8-xeMZbLgs6D/JAJA.jpg)
JAJA ASAINI MIAKA 2 YANGA
10 years ago
TheCitizen21 Sep
Jaja will add no value, Yanga should recruit more