Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA VS VILLA HAKUNA MBABE, MSUVA APAISHA PENALTI, MWASHYUYA, KASEKE WATAKATA



Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na SC Villa ya Uganda imemalizika kwa sare ya 0-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amekosa penati waliyopata Yanga katika kipindi cha pili baada ya kupaisha bonge ya ‘mnazi’.
Acha hayo yote, burudani ilikuwa zaidi kwa Geofrey Mwasyuya na Deus Kaseke ambao walicheza vizuri katika mechi ya leo.Uwezo waliouonyesha wawili hao kwa kushirikiana na Malimi Busungu, imeonyesha Yanga inaweza kuwa na kikosi bora zaidi hapo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE......

 Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Geilson Santos "Jaja" akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na...

 

9 years ago

Habarileo

Kamusoko, Msuva wakosa penalti tena

WACHEZAJI Thaban Kamusoko, Vicent Bossou na Simon Msuva wamekosa penalti wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mtanzania

Kaseke avuna mil 88/- Yanga

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

ALIYEKUWA winga wa Mbeya City, Deus Kaseke, amevuna takribani Sh milioni 88 kwenye mkataba wa miaka miwili aliousaini jana kujiunga na mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), timu ya Yanga.

Kaseke anaondoka Mbeya City kama mchezaji huru, kutokana na kumaliza mkataba ndani ya timu hiyo, ambayo haijavuna chochote kwenye usajili wa winga huyo kwenda Yanga.

Kiasi hicho cha fedha kinatokana na dau la Sh milioni 40 lililomwezesha kusaini,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal, Spurs hakuna mbabe

Arsenal wakicheza katika uwanja wao wa Emirate walikwenda sare ya kufungana bao 1-1 na klabu ya Tottenham.

 

5 years ago

Michuzi

AZAM NA KMC HAKUNA MBABE


Yassir Simba,  Michuzi TV

Mchezo wa kupashapasha misuli kabla ya kurejea kwa ligi kuu Tanzania bara VPL June 13, 2020 baina ya waoka mikate Azam Fc dhidi ya Kino Boys KMC uliopigwa jana June 10,2020 katika dimba la Azam Complex Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam umeshuhudia Azam Fc na KMC Fc wakitoka sare ya kufunguna bao moja kwa moja

Mabao ya Sergie Tape dakika ya 54 na bao la la kusawazisha  kwa upande Azam Fc dakika ya 80 ya mchezo lilofungwa na kiungo Mzanzibar Mudathir  Yahya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U na Chelsea hakuna mbabe

Nchini England Manchester United walitoka sare ya goli 1 -1 na Vijana kutoka darajani Chelsea katika uwanja wa Old Trafford.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal , Liverpool hakuna mbabe

Arsenal na Liverpool zimegawana alama moja moja katika mechi kali ya Ligi kuu ya England baada ya kushindwa kufungana.

 

9 years ago

GPL

ARSENAL, LIVERPOOL HAKUNA MBABE

Mshambuliaji wa timu ya Arsenal, Alexis Sanchez (katikati) akiwatoka wachezaji wa timu ya Liverpool katika Uwanja wa Emirates. Sanchez wa Arsenal akipiga shuti mbele ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren (6) kuelekea kwenye lango la wapinzani wao hao. Kipa wa Arsenal, Petr Cech akiokoa mpira wa hatari uliopigwa na Christian Benteke wa Liverpool (katikati), nyuma yake ni Nacho Monreal wa Arsenal. … ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani