AZAM NA KMC HAKUNA MBABE

Yassir Simba, Michuzi TV
Mchezo wa kupashapasha misuli kabla ya kurejea kwa ligi kuu Tanzania bara VPL June 13, 2020 baina ya waoka mikate Azam Fc dhidi ya Kino Boys KMC uliopigwa jana June 10,2020 katika dimba la Azam Complex Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam umeshuhudia Azam Fc na KMC Fc wakitoka sare ya kufunguna bao moja kwa moja
Mabao ya Sergie Tape dakika ya 54 na bao la la kusawazisha kwa upande Azam Fc dakika ya 80 ya mchezo lilofungwa na kiungo Mzanzibar Mudathir Yahya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ARSENAL, LIVERPOOL HAKUNA MBABE
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
Arsenal , Liverpool hakuna mbabe
11 years ago
Michuzi
SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE......


9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Arsenal, Spurs hakuna mbabe
11 years ago
BBCSwahili27 Oct
Man U na Chelsea hakuna mbabe
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Miamba wa jiji la Madrid hakuna mbabe
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Man Utd, Chelsea hakuna mbabe


Mchezaji kiungo wa Manchester United, Ander Herreram akimuangalia kipa wa Chelsea baada ya kukosa bao.



