Kaseke avuna mil 88/- Yanga
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA winga wa Mbeya City, Deus Kaseke, amevuna takribani Sh milioni 88 kwenye mkataba wa miaka miwili aliousaini jana kujiunga na mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), timu ya Yanga.
Kaseke anaondoka Mbeya City kama mchezaji huru, kutokana na kumaliza mkataba ndani ya timu hiyo, ambayo haijavuna chochote kwenye usajili wa winga huyo kwenda Yanga.
Kiasi hicho cha fedha kinatokana na dau la Sh milioni 40 lililomwezesha kusaini,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Jun
Yanga yaanza jalamba na wachezaji saba tu, Kaseke ndani
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/DSC00288.jpg)
Kocha wa Yanga Hans van der Pluijm (kulia) akifuatilia kwa karibu mazoezi ya leo
Na Dickson Masanja
Yanga imeanza rasmi mazoezi yake leo asubuhi kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume uliopo kwenye ofisi za TFF Ilala jijini Dar es Salaam tayari kujiandaa na michuano mbalimbali inayoikabili ikiwemo ile ya Kagame Cup, ligi kuu Tanzania bara pamoja na michuano ya klabu bingwa barani Afrika.Mazoezi hayo yameongozwa na kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm akisaidiwa na kocha wa makipa Juma...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uXW0-78Tmug/VY7ak-tIaLI/AAAAAAABNOU/kpZKRlZQBhk/s72-c/5.jpg)
YANGA VS VILLA HAKUNA MBABE, MSUVA APAISHA PENALTI, MWASHYUYA, KASEKE WATAKATA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uXW0-78Tmug/VY7ak-tIaLI/AAAAAAABNOU/kpZKRlZQBhk/s640/5.jpg)
Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na SC Villa ya Uganda imemalizika kwa sare ya 0-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amekosa penati waliyopata Yanga katika kipindi cha pili baada ya kupaisha bonge ya ‘mnazi’.
![](http://4.bp.blogspot.com/-kTTUCCt4nQs/VY7ak7IeyfI/AAAAAAABNOY/TaeFtJ9RuRM/s640/4.jpg)
Acha hayo yote, burudani ilikuwa zaidi kwa Geofrey Mwasyuya na Deus Kaseke ambao walicheza vizuri katika mechi ya leo.Uwezo waliouonyesha wawili hao kwa kushirikiana na Malimi Busungu, imeonyesha Yanga inaweza kuwa na kikosi bora zaidi hapo...
11 years ago
GPLYANGA YAINGIZA MIL 86/-, SIMBA MIL 53/-
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s72-c/MMGL0570.jpg)
YANGA, ETOILE ZAINGIZA MIL 22
![](http://3.bp.blogspot.com/-RLhi67I8OGo/VTYyzd2v2HI/AAAAAAAHSNc/r6KvZnKuVmo/s1600/MMGL0570.jpg)
Jumla ya watazamaji 36,105 walikata tiketi kuhudhuria mchezo huo, huku VIP A zikikatwa tiketi 68, VIP B tiketi 869, VIP C tiketi 582, Orange tiketi 1,955 na viti vya rangi ya Bluu na Kijani tiketi 32,631 ziliuzwa.
Mgawanyo wa mapato ni VAT 18% sh....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPzSoOKIg4sAuVhDWVHtKGgWuCItldb7oL4TQ3GuJ6hI7mTqQnzxMAtRaqIOiOf0ufrNu4nsX-vUBhUZhD5JXVfW/yanga.jpg?width=640)
YANGA KUVUNA MIL 90 CAF
10 years ago
Vijimambo06 Jun
MIL 96 KUTEKETEZA BATA LA YANGA
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2742500/highRes/1029047/-/maxw/600/-/gg933lz/-/03-Bata+la+Ynag.jpg)
Sherehe hizo zimepangwa kufafanyika Juni 16 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam na zitaenda sambamba na utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora na uzinduzi wa kitabu cha Historia ya Yanga kilichoandikwa na Peter Ching’ole.MAMBO ya fedha bwana! Klabu ya Yanga inatarajiwa kutumia kiasi cha Sh96 milioni kwa ajili ya sherehe zake za ubingwa wa Ligi Kuu Bara ilioutwaa hivi karibuni.
Sherehe hizo zimepangwa kufafanyika Juni 16 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Xt4wQ_c-4iA/VP3U6AZWGjI/AAAAAAAHJJU/_8RQay9uqmc/s72-c/MMGL0115.jpg)
SIMBA, YANGA ZAINGIZA MIL 436
![](http://2.bp.blogspot.com/-Xt4wQ_c-4iA/VP3U6AZWGjI/AAAAAAAHJJU/_8RQay9uqmc/s1600/MMGL0115.jpg)
Watazamaji 309 walikata tiketi za VIP A, 1,310 VIP B, 1,533 VIP C, Rangi ya Machungwa (Orange) 9,913 huku viti vya rangi ya bluu na kijani wakiingia watazamaji 36,693.
Mgawanyo wa mapato ya mchezo huo ni VAT 18% sh.66,623.796, FDF timu mwenyeji sh. 17,415,300, FDF TFF sh.7,463,700, Gharama za tiketi...
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Mikataba kuikamua Yanga Sh500 mil
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Yanga yamdai Kaseja Sh200 mil