Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA, YANGA ZAINGIZA MIL 436

 Mechi no.117 iliyowakutanisha Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa, imeingiza jumla ya sh. milioni 436,756,000 kutokana na idadi ya watazamaji 49,758 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo.
Watazamaji 309 walikata tiketi za VIP A, 1,310 VIP B, 1,533 VIP C, Rangi ya Machungwa (Orange) 9,913 huku viti vya rangi ya bluu na kijani wakiingia watazamaji 36,693.
Mgawanyo wa mapato ya mchezo huo ni VAT 18% sh.66,623.796, FDF timu mwenyeji sh. 17,415,300, FDF TFF sh.7,463,700, Gharama za tiketi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

YANGA, ETOILE ZAINGIZA MIL 22

Mchezo no.91 wa Kombe la Shirkisho barani Afrika (CC) hatua ya 16 bora uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam, kati ya wenyeji timu ya Young Africans dhidi ya Etoile du Sahel kutoka Tunisia umeingiza jumla ya sh. 223,135,000.
Jumla ya watazamaji 36,105 walikata tiketi kuhudhuria mchezo huo, huku VIP A zikikatwa tiketi 68, VIP B tiketi  869, VIP C tiketi 582, Orange tiketi 1,955 na viti vya rangi ya Bluu na Kijani tiketi 32,631 ziliuzwa.
Mgawanyo wa mapato ni VAT 18% sh....

 

11 years ago

GPL

YANGA YAINGIZA MIL 86/-, SIMBA MIL 53/-

Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' (katikati) akipiga shuti wakati timu yake ikicheza na Rhino Rangers uwanja wa Taifa jana. Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zilizohusisha timu za Simba na Yanga na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wikiendi zimeingiza jumla ya sh. 139,850,000. Mrisho Ngassa wa Yanga (kushoto) akipiga mpira huku akizongwa na mchezaji wa Ashanti katika mechi yao uwanja wa Taifa juzi. Yanga… ...

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA, SIMBA YAINGIZA MIL 427/-

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa  (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000.
Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 65,176,932 wakati asilimia 5 ya gharama ya tiketi kwa CRDB ni sh. 21,363,550.
Kwa upande wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MECHI YA YANGA v/s SIMBA YAINGIZA SH. MIL 427/-

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000.
Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 65,176,932 wakati asilimia 5 ya gharama ya tiketi kwa CRDB ni sh. 21,363,550.

Kwa upande wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira...

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS, ZIMBABWE ZAINGIZA MIL 63, LIGU KUU TANZANIA BARA KUANZA AGOSTI 24 MWAKA HUU

Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Boniface Wambura akizungumza na vyombo vya habari. Waandishi wa habari wakisikiliza. Stori: Na Gabriel Ng'osha OFISA Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Boniface Wambura akizungumzia kuhusiana na mapato yaliyotokana na mechi kati ya Taifa Stars na Zimbabwe iliyochezwa wiki iliyopita ambapo jumla ya shilingi milioni 63 zilipatikana baada ya mashabiki...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City na Yanga zaingiza Sh175milioni, zaambulia Sh84milioni

Mbeya City na Yanga zaingiza Sh175milioni, zaambulia Sh84milioni

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani