Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaanza jalamba na wachezaji saba tu, Kaseke ndani


Kocha wa Yanga Hans van der Pluijm (kulia) akifuatilia kwa karibu mazoezi ya leo
Na Dickson Masanja
Yanga imeanza rasmi mazoezi yake leo asubuhi kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume uliopo kwenye ofisi za TFF Ilala jijini Dar es Salaam tayari kujiandaa na michuano mbalimbali inayoikabili ikiwemo ile ya Kagame Cup, ligi kuu Tanzania bara pamoja na michuano ya klabu bingwa barani Afrika.Mazoezi hayo yameongozwa na kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm akisaidiwa na kocha wa makipa Juma...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Taifa Stars yaanza mazoezi bila wachezaji wa Yanga, Azamfc.

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.
Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani...

 

10 years ago

Mtanzania

Kaseke avuna mil 88/- Yanga

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

ALIYEKUWA winga wa Mbeya City, Deus Kaseke, amevuna takribani Sh milioni 88 kwenye mkataba wa miaka miwili aliousaini jana kujiunga na mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), timu ya Yanga.

Kaseke anaondoka Mbeya City kama mchezaji huru, kutokana na kumaliza mkataba ndani ya timu hiyo, ambayo haijavuna chochote kwenye usajili wa winga huyo kwenda Yanga.

Kiasi hicho cha fedha kinatokana na dau la Sh milioni 40 lililomwezesha kusaini,...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA VS VILLA HAKUNA MBABE, MSUVA APAISHA PENALTI, MWASHYUYA, KASEKE WATAKATA



Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na SC Villa ya Uganda imemalizika kwa sare ya 0-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amekosa penati waliyopata Yanga katika kipindi cha pili baada ya kupaisha bonge ya ‘mnazi’.
Acha hayo yote, burudani ilikuwa zaidi kwa Geofrey Mwasyuya na Deus Kaseke ambao walicheza vizuri katika mechi ya leo.Uwezo waliouonyesha wawili hao kwa kushirikiana na Malimi Busungu, imeonyesha Yanga inaweza kuwa na kikosi bora zaidi hapo...

 

11 years ago

GPL

PSPF YAPATA MWANACHAMA MPYA NDANI YA MAENESHO YA SABA SABA

Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akimkabidhi kadi ya uanachama, Mwnaachama Mpya wa Mfuko huo, Peter A Mfuru, (Kulia), baada ya kujiunga jana kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Katikati ni Afisa Mifumo ya Kompyuta Mwandamizi, Mariam Saleh. Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akitoa maelezo ya namna...

 

11 years ago

GPL

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA KUPATA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA


  Wafanyakazi wa Access Benki wakitoa maelekezo kwa mteja aliyetembelea katika banda lao namba nne lililoko katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.…

 

11 years ago

Michuzi

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

Mteja akipata maelezo ya Kina kutoka kwa wafanyakazi wa Access Bank katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akifanya mahojiano na Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko na kueleza huduma wanazozitoa  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya...

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

 Katika kuboresha huduma za kibenki Twiga Bancorp,Afisa wa Benki hiyo,pichani kati Bi Tuddy Lutengano akimhudumia mteja pichani kulia katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,Shoto ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya Maonyesho hayo,Bi. Upendo Tendewa akihakikisha huduma bora za kibenki zinafanyika na kukidhi haja kwa  wateja wao. Muonekano banda la Benki ya Twiga Bancorp lionekanavyo kwa nje ndani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani