Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU NAO WAKIENDELEZA LIBENEKE NDANI YA MAONYESHO VIWANJA VYA SABA SABA



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA MODEWJI BLOG WAJUMUIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 7 YA MTANDAO HUO NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA

IMG_5219
Mdau wa modewjiblog, Ray the hustler (kushoto) aliyeambatana ndugu zake kutembelea banda la Modewjiblog katika picha ya pamoja na Mwandishi wa habari mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Andrew Chale.DSC_0582
Afisa Masoko wa taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha, (UTT-PID), Kilave Atenaka (katikati) pamoja na Afisa kutoka taasisi hiyo Beatrice Ngode waki-show love na T-shirts za modewjiblog walizokabidhiwa walipotembelea banda la modewjiblog na kujionea shughuli...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wa Modewji blog wajumuika kusherehekea miaka 7 ya mtandao huo ndani ya viwanja vya Saba Saba

IMG_5219

Mdau wa modewjiblog, Ray the hustler (kushoto) aliyeambatana ndugu zake kutembelea banda la Modewjiblog katika picha ya pamoja na Mwandishi wa habari mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Andrew Chale.

Na Modewjiblog team

Shamra shamra za miaka Saba za mtandao wa habari nchini wa  Modewji blog  tayari zimeanza kurindima ndani ya banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyoanza  jana kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu...

 

11 years ago

GPL

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA KUPATA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA


  Wafanyakazi wa Access Benki wakitoa maelekezo kwa mteja aliyetembelea katika banda lao namba nne lililoko katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.…

 

11 years ago

Michuzi

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

Mteja akipata maelezo ya Kina kutoka kwa wafanyakazi wa Access Bank katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akifanya mahojiano na Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko na kueleza huduma wanazozitoa  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya...

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

 Katika kuboresha huduma za kibenki Twiga Bancorp,Afisa wa Benki hiyo,pichani kati Bi Tuddy Lutengano akimhudumia mteja pichani kulia katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,Shoto ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya Maonyesho hayo,Bi. Upendo Tendewa akihakikisha huduma bora za kibenki zinafanyika na kukidhi haja kwa  wateja wao. Muonekano banda la Benki ya Twiga Bancorp lionekanavyo kwa nje ndani ya...

 

11 years ago

GPL

TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR‏

Katika kuboresha huduma za kibenki Twiga Bancorp,Afisa wa Benki hiyo,pichani kati Bi Tuddy Lutengano akimhudumia mteja pichani kulia katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,Shoto ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya Maonyesho hayo,Bi. Upendo Tendewa akihakikisha huduma bora za kibenki zinafanyika na kukidhi haja kwa  wateja wao.…
...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA

  Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akimpa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABA SABA

 Katibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine akisalimiana na Meneja Masoko na mawasiliano kwa Uma Bwana James Mlowe wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF . Mlowe amemweleza katibu mkuu jinsi LAPF ilivyoweza kuwa mshindi wa kwanza katika utunzaji wa kumbukumbu kwa wanachama katika sekta ya mifuko ya Pensheni na inavyolipa mafao kwa haraka. Pia kutambuliwa na Msimamizi wa mifuko hii kuwa ni mfuko unaokuwa kwa kasi kuliko mifuko yote ya pensheni tanzaniaKatibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yajivunia mafaniko maonyesho ya Saba saba.

Benki ya Exim  yajivunia  mafaniko maonyesho ya Saba saba.USHIRIKI wa benki ya Exim kwenye maonyesho ya Kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam umeonyesha mafanikio makubwa ambapo pamoja na fursa nyingine benki hiyo pia imefanikiwa kusogeza huduma zake karibu kwa wateja wake wanaoshiriki na kuhudhuria maonyesho hayo.
Mbali na kutoa ushauri wa kibenki kwa washiriki na wateja wanaotembelea banda la maonyesho ya benki hiyo, benki hiyo pia imeweka mashine ya ATM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani