Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Exim yajivunia mafaniko maonyesho ya Saba saba.

Benki ya Exim  yajivunia  mafaniko maonyesho ya Saba saba.USHIRIKI wa benki ya Exim kwenye maonyesho ya Kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam umeonyesha mafanikio makubwa ambapo pamoja na fursa nyingine benki hiyo pia imefanikiwa kusogeza huduma zake karibu kwa wateja wake wanaoshiriki na kuhudhuria maonyesho hayo.
Mbali na kutoa ushauri wa kibenki kwa washiriki na wateja wanaotembelea banda la maonyesho ya benki hiyo, benki hiyo pia imeweka mashine ya ATM...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA

  Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akimpa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABA SABA

 Katibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine akisalimiana na Meneja Masoko na mawasiliano kwa Uma Bwana James Mlowe wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF . Mlowe amemweleza katibu mkuu jinsi LAPF ilivyoweza kuwa mshindi wa kwanza katika utunzaji wa kumbukumbu kwa wanachama katika sekta ya mifuko ya Pensheni na inavyolipa mafao kwa haraka. Pia kutambuliwa na Msimamizi wa mifuko hii kuwa ni mfuko unaokuwa kwa kasi kuliko mifuko yote ya pensheni tanzaniaKatibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL NA PICHA KEDEKEDE ZA MAONYESHO YA SABA SABA DAR

Sehemu ya umati uliofurika uwanjani. Banda la Kampuni ya Azam likiwa limesheheni burudani.…

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WAMIMINIKA MAONYESHO YA SABA SABA WIKIENDI

Foleni ya kuingia viwanjani. Baadhi ya wananchi waliokuwa viwanja vya…

 

11 years ago

GPL

MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YAZINDULIWA RASMI SABA SABA

Wanafunzi wakitembelea banda la Global Education Link. Vijana wa skauti wakijitayarisha kumpokea Seif Ally Idd. Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Kanda ya Pwani, Herieth Koka, akiwa ameshika tuzo…

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA

Baadhi ya wateja wakiwa katika banda la wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na  DCB katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB,Tatu Shija( katikati) akiwa na wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na  DCB wakinyesha bidhaa zao  katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB, Rashid Ngwali (amenyosha mkono) akitoa maelezo kwa wananchi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MAONYESHO YA SABA SABA KATIKA PICHA

MKUU wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Lylian Mpanju, akiwaeleza wananchi majukumu ya taasisi hiyo, wakati wa Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam, Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, jana. (Picha zote na Yassin Kayombo).

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI 1500 TOKA HAPA NCHINI NA 400 TOKA NJE YA NCHI YATARAJIWA KUSHIRIKI MAONYESHO YA SABA SABA MWAKA 2015

 Gari likiwa limebeba takataka katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.  Mabanda ya maonyesho ya sabasaba yakiendelea kufanyiwa kukarabati kwaajili ya maonyesho yatakayoanza Juni 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Wazee wa kilimo kwanza wakiwa katika maandalizi ya maonyesho ya sabasaba.  Wanawake nao katika harakati za kuweka mazingira ya kupendeza katika mabanda ya maonyesho ya sabasaba leo jijini Dar es Salaam. Mafundi wakitoa mizigo kwaajili maonyesho ya sabasaba jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani