Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMPUNI 1500 TOKA HAPA NCHINI NA 400 TOKA NJE YA NCHI YATARAJIWA KUSHIRIKI MAONYESHO YA SABA SABA MWAKA 2015

 Gari likiwa limebeba takataka katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.  Mabanda ya maonyesho ya sabasaba yakiendelea kufanyiwa kukarabati kwaajili ya maonyesho yatakayoanza Juni 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Wazee wa kilimo kwanza wakiwa katika maandalizi ya maonyesho ya sabasaba.  Wanawake nao katika harakati za kuweka mazingira ya kupendeza katika mabanda ya maonyesho ya sabasaba leo jijini Dar es Salaam. Mafundi wakitoa mizigo kwaajili maonyesho ya sabasaba jijini Dar...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TEMBELEA OFISI YA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) ILIYOPO SABA SABA UJIPATIE NAFASI YA KUSOMA CHUO NJE YA NCHI

Muonekano wa Ofisi ya Global Education Link iliyopo ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.Msimamizi wa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Haroun Weggoro akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA

  Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akimpa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABA SABA

 Katibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine akisalimiana na Meneja Masoko na mawasiliano kwa Uma Bwana James Mlowe wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF . Mlowe amemweleza katibu mkuu jinsi LAPF ilivyoweza kuwa mshindi wa kwanza katika utunzaji wa kumbukumbu kwa wanachama katika sekta ya mifuko ya Pensheni na inavyolipa mafao kwa haraka. Pia kutambuliwa na Msimamizi wa mifuko hii kuwa ni mfuko unaokuwa kwa kasi kuliko mifuko yote ya pensheni tanzaniaKatibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL NA PICHA KEDEKEDE ZA MAONYESHO YA SABA SABA DAR

Sehemu ya umati uliofurika uwanjani. Banda la Kampuni ya Azam likiwa limesheheni burudani.…

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yajivunia mafaniko maonyesho ya Saba saba.

Benki ya Exim  yajivunia  mafaniko maonyesho ya Saba saba.USHIRIKI wa benki ya Exim kwenye maonyesho ya Kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam umeonyesha mafanikio makubwa ambapo pamoja na fursa nyingine benki hiyo pia imefanikiwa kusogeza huduma zake karibu kwa wateja wake wanaoshiriki na kuhudhuria maonyesho hayo.
Mbali na kutoa ushauri wa kibenki kwa washiriki na wateja wanaotembelea banda la maonyesho ya benki hiyo, benki hiyo pia imeweka mashine ya ATM...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WAMIMINIKA MAONYESHO YA SABA SABA WIKIENDI

Foleni ya kuingia viwanjani. Baadhi ya wananchi waliokuwa viwanja vya…

 

11 years ago

GPL

MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YAZINDULIWA RASMI SABA SABA

Wanafunzi wakitembelea banda la Global Education Link. Vijana wa skauti wakijitayarisha kumpokea Seif Ally Idd. Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Kanda ya Pwani, Herieth Koka, akiwa ameshika tuzo…

 

9 years ago

Michuzi

HABARI TOKA TFF: KESHO YANGA NA SIMBA KIINGILIO KUANZIA BUKU SABA

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom inayowakutanisha watani wa jadi kati ya Simba SC dhidi ya Young Africans itachezwa kesho katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.Milango ya uwanja wa Taifa itafunguliwa saa 5 kamili asubuhi ili kutoa nafasi kwa wapenzi, wadau na washabiki kuanza kuingia mapema uwanjani.Tiketi za mchezo huo zimeshaanza kuuzwa leo Ijumaa asubuhi katika vituo vya Karume – Ofisi za TFF, Buguruni – Oilcom, Dar Live...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani