Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABA SABA

 Katibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine akisalimiana na Meneja Masoko na mawasiliano kwa Uma Bwana James Mlowe wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF . Mlowe amemweleza katibu mkuu jinsi LAPF ilivyoweza kuwa mshindi wa kwanza katika utunzaji wa kumbukumbu kwa wanachama katika sekta ya mifuko ya Pensheni na inavyolipa mafao kwa haraka. Pia kutambuliwa na Msimamizi wa mifuko hii kuwa ni mfuko unaokuwa kwa kasi kuliko mifuko yote ya pensheni tanzaniaKatibu mkuu wa TAMISEMI Mh. Jumanne A. Sagine...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA

  Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akimpa...

 

11 years ago

GPL

MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YAZINDULIWA RASMI SABA SABA

Wanafunzi wakitembelea banda la Global Education Link. Vijana wa skauti wakijitayarisha kumpokea Seif Ally Idd. Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Kanda ya Pwani, Herieth Koka, akiwa ameshika tuzo…

 

10 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI atembelea banda la maonesho NHC

Naibu Katibu mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akiingia katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba akipata maelezo ya namna kituo cha huduma kwa wateja kinavyofanya kazi kutoka kwa Afisa wa kitengo cha Huduma kwa Wateja, Theresia Muhondo katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHIRIKI MAONESHO YA SABA SABA 2015

 Banda la Mfuko wa  Pensheni  wa LAPF liloko katika kiwanja cha Mwl. Nyerere kwenye    maonyesho ya Sabasaba 2015. LAPF ipo banda namba 22  karibu na banda CELLO na SIDO mkabala na banda la Elimu   Mwanachama wa LAPF akifurahia kupatiwa Taarifa ya michango yake ambayo ni mmoja ya huduma utakayoipata kwenye banda la LAPF ukitembelea banda hilo Wanachama na wageni waliotembelea banda la LAPF wakipata fursa ya kujiandikisha kwenye mfumo wa uchangia wa hiari, kupata vitambulisho, pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'NHIF' KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO

   Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akipitia taarifa ya huduma zinazotolewa na Mfuko aliyokabidhibiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Michael Mhando baada ya kutembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.     Katibu Mkuu Kiongozi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NHIF katika banda la maonesho ya wiki ya Utumishi.  Picha ya pamoja ya watumishi wa NHIF wanaoshiriki maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma.PICHA NA EMMANUEL...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yajivunia mafaniko maonyesho ya Saba saba.

Benki ya Exim  yajivunia  mafaniko maonyesho ya Saba saba.USHIRIKI wa benki ya Exim kwenye maonyesho ya Kimataifa ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam umeonyesha mafanikio makubwa ambapo pamoja na fursa nyingine benki hiyo pia imefanikiwa kusogeza huduma zake karibu kwa wateja wake wanaoshiriki na kuhudhuria maonyesho hayo.
Mbali na kutoa ushauri wa kibenki kwa washiriki na wateja wanaotembelea banda la maonyesho ya benki hiyo, benki hiyo pia imeweka mashine ya ATM...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL NA PICHA KEDEKEDE ZA MAONYESHO YA SABA SABA DAR

Sehemu ya umati uliofurika uwanjani. Banda la Kampuni ya Azam likiwa limesheheni burudani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani