Taifa Stars yaanza mazoezi bila wachezaji wa Yanga, Azamfc.
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.
Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo13 Sep
YANGA YAANZA KUKAA KILELENI BAADA YA USHINDI WA 2 BILA MAJIBU UWANJA WA TAIFA LEO
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Donald-Ngoma.jpg)
Donald Ngoma akishangilia goli lake kwa kumkumbatia kocha mkuu wa timu ya Yanga Hans van der Pluijm
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Simon-Msuva-1.jpg)
Mabingwa watete wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Yanga SC leo imefanikiwa kuanza vyema kuutetea ubingwa wake kwa kuibuka na ushindi wa oli 2-0 mbele ya Coastal Union ya jijini Tanga kwenye mchezo pekee wa ligi uliopigwa leo jioni kunako dimba la Taifa.
Goli la...
10 years ago
Habarileo12 Aug
Stars `mpya’ yaanza mazoezi
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza mazoezi katika Uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Wachezaji wa kimataifa wa Yanga waanza mazoezi
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
5 years ago
MichuziTimu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate yaanza mazoezi kujiandaa na mashindano ya dunia Japan
Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi octoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na Tahadhari ya Virusi vya Corona. Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama.. Tumezungumza Jerome...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Taifa-Stars-1.jpg)
TAIFA STARS YAFANYA MAZOEZI YA MWISHO SAUZ
10 years ago
Vijimambo09 Jun
Yanga yaanza jalamba na wachezaji saba tu, Kaseke ndani
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/DSC00288.jpg)
Kocha wa Yanga Hans van der Pluijm (kulia) akifuatilia kwa karibu mazoezi ya leo
Na Dickson Masanja
Yanga imeanza rasmi mazoezi yake leo asubuhi kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume uliopo kwenye ofisi za TFF Ilala jijini Dar es Salaam tayari kujiandaa na michuano mbalimbali inayoikabili ikiwemo ile ya Kagame Cup, ligi kuu Tanzania bara pamoja na michuano ya klabu bingwa barani Afrika.Mazoezi hayo yameongozwa na kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm akisaidiwa na kocha wa makipa Juma...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/TAIFA-STAZ-21.jpg)
TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO