TAIFA STARS YAFANYA MAZOEZI YA MWISHO SAUZ
Wachezaji wa Stars wakisikiliza maelekezo kutoka kwa kocha wao, Charles Boniface Mkwasa. Stars wakiendelea kujifua nchini Afrika Kusini leo.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLTAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO
9 years ago
StarTV14 Aug
Taifa Stars yaanza mazoezi bila wachezaji wa Yanga, Azamfc.
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.
Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Taifa Stars yatupa karata ya mwisho
WAKATI timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars ikitupa karata ya mwisho kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya kampeni za fainali za Kombe la Mataifa Afrika mwakani nchini...
10 years ago
Michuzi28 Mar
MALAWI WAFANYA MAZOEZI CCM KIRUMBA LEO, TAYARI KUKUTANA NA TAIFA STARS KESHO JUMAPILI
Na Faustine Ruta, Mwanza.Timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) pichani leo jioni imefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili Wenyeji wao Tanzania Timu ya (Taifa Stars) mchezo utakaochezwa kesho jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Wakibadilishana Mawazo wakati Wachezaji wa Malawi wanajifua mara ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jioni ya leo.
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa...
9 years ago
MichuziIdara ya Magonjwa ya Dharura Muhimbili Yafanya Mazoezi ya Kujiandaa na Majanga
11 years ago
GPLMAZOEZI YA MWISHO YA YANGA KABLA YA KUWAVAA AL AHLY LEO SAA 2 USIKU
11 years ago
MichuziULE USEMI WA " UZEE MWISHO CHALIZE" UMEPEWA JINA LA MAZOEZI YA KUKATA UZITO !
10 years ago
Habarileo12 Aug
Stars `mpya’ yaanza mazoezi
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza mazoezi katika Uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.