Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ULE USEMI WA " UZEE MWISHO CHALIZE" UMEPEWA JINA LA MAZOEZI YA KUKATA UZITO !

Kwa wasanii wao kila usemi ni sehemu ya maisha yao! Juzi baadhi ya wasanii huko Ughaibuni wameibuka kwa kuyabandika majina mazoezi ya kukata uzito au unene wa mwili " Zoezi hili sasa lipewa jina la "UZEE MWISHO CHALINZE" usemi ambao umebuniwa na msanii Joti wa Ze Komedi. Zoezi hilo maalumu la kupiga vita unene au minyama ya uzembe limeshaanza kufanyiwa kazi kisawa sawa na wasanii,mmojawapo ni mwanamuziki Jhikoman ambae kwa sasa ana ziara ndefu huko Ulaya Mwanamuziki Jhikoman akijifua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

uzee mwisho wake ....?

Mlioko huku wote ma-Bebi...tehe tehe tehe....Inasemekana wazee wa Chalinze wamekata rufaa kutaka mpaka uwe Morogoro....

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

SASA HIVI UZEE MWISHO MSATA!

INAKUWA nini masela na maduu wa ukwehe? Ama nini? Kipande hii ni kama lasti wiki arifu. Chuma kingine kikali Bongo Muvi kaka mkubwa kabisa Tyson naye karesti ini pisi chaliiangu ndo maana dizaini kama mizuka ipo dauni kimtindo. Umepata lesoni gani mnyama wangu baada ya watu wetu wa nguvu kudedi fastafasta? Umkumbuke Saa Godi taimu yote katika kila mbishe unayopiga. Karibu kwenye hizi stori tamu za kitaani kwetu mazee. Tudei ngoja...

 

11 years ago

GPL

AMA KWELI UZEE MWISHO CHALINZE!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Amakweli dunia imekwisha! Watu wa Dar es Salaam wanasema uzee mwisho Chalinze, Dar es Salaam kila mtu baby, kauli hiyo ilitimia usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita baada ya mmiliki wa Gesti ya GLP ya Mabibo Mwisho jijini Dar es Salaam, Amos Makelle kunaswa kitandani usiku wa manane na mfanyakazi wake aitwae Tina. Babu Amos Makelle baada ya kunaswa akiwa kitandani  na mfanyakazi wake aitwae...

 

11 years ago

Michuzi

Jhikoman katika tizi la Uzee mwisho Chalinze ndani ya Ujerumani

 Mwanamuziki maaruffu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye anatarajia kupanda jukwaani wiki hii katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen,2014,Germany. mwanamuziki (pichani) akiwa katika mazoezi ya viungo maarufu kama 'Uzee mwisho Chalinze' ndani ya Ujerumani. kwa wale wanataka kumpa Hi! +49(0)15211229655 Kilomita 10 kila asubuhi si mchezo

 

9 years ago

Mtanzania

Mtibwa Sugar mwendo ni ule ule

mtibwa-picha-1NA ZAINAB IDDY

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime, amesema licha ya kutofanya usajili katika kikosi chake hadi sasa katika usajili wa dirisha dogo, mwendo wao utakuwa ni ule ule kama walioanza nao Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Katika msimamo wa ligi hiyo hadi sasa Mtibwa Sugar imecheza mechi tisa ambapo imeshinda mechi saba, sare moja na kupoteza mmoja.

Kwa matokeo hayo, Mtibwa inashika nafasi ya tatu katika msimamo  wa ligi hiyo wakiwa na pointi 22 nyuma ya Yanga waliopo nafasi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Samata moto ule ule TP Mazembe

Mshambuliaji Mbwana Samata ameibuka shujaa wa TP Mazembe baada ya kuifungia bao pekee katika mechi dhidi ya AS Vita walipowakishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vital katika mchezo wa kwanza wla Kundi A wa Ligi ya Mabingwa Afrika ulilopigwa mwishoni mwa wiki kwenyeatika Uwanja wa Stade TP Mazembe, Lubumbashi.

 

9 years ago

Habarileo

Kerr: Wembe ni ule ule

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema haoni sababu ya kushindwa kuondoka na pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga itakapocheza na Mgambo Shooting kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani