Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


uzee mwisho chalinze...



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AMA KWELI UZEE MWISHO CHALINZE!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Amakweli dunia imekwisha! Watu wa Dar es Salaam wanasema uzee mwisho Chalinze, Dar es Salaam kila mtu baby, kauli hiyo ilitimia usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita baada ya mmiliki wa Gesti ya GLP ya Mabibo Mwisho jijini Dar es Salaam, Amos Makelle kunaswa kitandani usiku wa manane na mfanyakazi wake aitwae Tina. Babu Amos Makelle baada ya kunaswa akiwa kitandani  na mfanyakazi wake aitwae...

 

11 years ago

Michuzi

Jhikoman katika tizi la Uzee mwisho Chalinze ndani ya Ujerumani

 Mwanamuziki maaruffu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye anatarajia kupanda jukwaani wiki hii katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen,2014,Germany. mwanamuziki (pichani) akiwa katika mazoezi ya viungo maarufu kama 'Uzee mwisho Chalinze' ndani ya Ujerumani. kwa wale wanataka kumpa Hi! +49(0)15211229655 Kilomita 10 kila asubuhi si mchezo

 

11 years ago

Michuzi

uzee mwisho wake ....?

Mlioko huku wote ma-Bebi...tehe tehe tehe....Inasemekana wazee wa Chalinze wamekata rufaa kutaka mpaka uwe Morogoro....

 

11 years ago

GPL

SASA HIVI UZEE MWISHO MSATA!

INAKUWA nini masela na maduu wa ukwehe? Ama nini? Kipande hii ni kama lasti wiki arifu. Chuma kingine kikali Bongo Muvi kaka mkubwa kabisa Tyson naye karesti ini pisi chaliiangu ndo maana dizaini kama mizuka ipo dauni kimtindo. Umepata lesoni gani mnyama wangu baada ya watu wetu wa nguvu kudedi fastafasta? Umkumbuke Saa Godi taimu yote katika kila mbishe unayopiga. Karibu kwenye hizi stori tamu za kitaani kwetu mazee. Tudei ngoja...

 

11 years ago

Michuzi

ULE USEMI WA " UZEE MWISHO CHALIZE" UMEPEWA JINA LA MAZOEZI YA KUKATA UZITO !

Kwa wasanii wao kila usemi ni sehemu ya maisha yao! Juzi baadhi ya wasanii huko Ughaibuni wameibuka kwa kuyabandika majina mazoezi ya kukata uzito au unene wa mwili " Zoezi hili sasa lipewa jina la "UZEE MWISHO CHALINZE" usemi ambao umebuniwa na msanii Joti wa Ze Komedi. Zoezi hilo maalumu la kupiga vita unene au minyama ya uzembe limeshaanza kufanyiwa kazi kisawa sawa na wasanii,mmojawapo ni mwanamuziki Jhikoman ambae kwa sasa ana ziara ndefu huko Ulaya Mwanamuziki Jhikoman akijifua...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JUU UBUNGO NA BARABARA, AONGEA NA KUSIKIL|IZA KERO ZA WANANCHI MBEZI MWISHO, MLOGANZILA, MLANDIZI,CHALINZE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya  gorofa ya pili ya barabara ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng....

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE

1Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze mjini Chalinze jana ambayo imejengwa na Kampuni ya Tanga Cement kupitia bidhaa yake ya Simba Cement kwa kushirikiana na taasisi ya Read International kwa gharama ya shilingi milioni 42 za kitanzania katika kuboresha elimu jimboni humo.
Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi wajengewe mzingira mazuri zaidi ya kujisomea lakini...

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze City)

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini Wizara ya Fedha anautangazia Umma juu ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze City). 
Fomu za Maombi zinapatikana katika matawi ya Benki ya Posta ya Azikiwe, Metropolitan na Mkwepu kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kwa Pwani zinapatikana katika tawi dogo la Benki ya Posta Bagamoyo na ofisi za Posta Chalinze. Pia maombi yanaweza kufanyika kupitia tovuti yetu ya : 
http://www.utt-pid.orgAu       ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani